Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiambiwa utaje hizo miradi that's where you draw the line 😄😄
Arusha inajenga viwanja viwili vya mpira simultanously.

1. Samia stadium. 👇🏾
IMG_4391.jpeg
IMG_4390.jpeg
2. Arusha city Stadium. 👇🏾
IMG_4654.jpeg
IMG_4655.jpeg
Arusha iko na viwanja vitatu.. kando ya Nairobi hakuna mji hapo kunya unamiliki walau kiwanja kimoja cha kisasa. 😂😂😂

Leta vimradi vyako vya Nairobi nakungoja.
 
Arusha inajenga viwanja viwili vya mpira simultanously.

1. Samia stadium. 👇🏾View attachment 3582165View attachment 35821662. Arusha city Stadium. 👇🏾View attachment 3582167View attachment 3582168Arusha iko na viwanja vitatu.. kando ya Nairobi hakuna mji hapo kunya unamiliki walau kiwanja kimoja cha kisasa. 😂😂😂

Leta vimradi vyako vya Nairobi nakungoja.
End of story. Nicxie and nairobae si niliwaambia atapost Stadium na amalizie hapo😂😂🤣
 
Back
Top Bottom