Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Talanta stadium hybrid pitch installation
1000018461.jpg
1000018460.jpg
1000018457.jpg
1000018459.jpg
 
Vikunya vimeumia kuskia kumbe Arusha ina miradi ya kutunishiana misuli na Nairobi. 😂😂😂 na vyenyew vimeenda kujadili vilete mjadala wa mwanza na kisumu. 😂😂

ARUSHA ina toshana na Nairobi kwa miradi inayoendelea in the city recently. That’s a fact.
 
Ukiambiwa utaje hizo miradi that's where you draw the line 😄😄
 
"Arusha inatoshana na Nairobi kwa miradi"

1000257125.jpg
 
Ukiambiwa utaje hizo miradi that's where you draw the line 😄😄
Arusha inajenga viwanja viwili vya mpira simultanously.

1. Samia stadium. 👇🏾
IMG_4391.jpeg
IMG_4390.jpeg
2. Arusha city Stadium. 👇🏾
IMG_4654.jpeg
IMG_4655.jpeg
Arusha iko na viwanja vitatu.. kando ya Nairobi hakuna mji hapo kunya unamiliki walau kiwanja kimoja cha kisasa. 😂😂😂

Leta vimradi vyako vya Nairobi nakungoja.
 
Arusha inajenga viwanja viwili vya mpira simultanously.

1. Samia stadium. 👇🏾View attachment 3582165View attachment 35821662. Arusha city Stadium. 👇🏾View attachment 3582167View attachment 3582168Arusha iko na viwanja vitatu.. kando ya Nairobi hakuna mji hapo kunya unamiliki walau kiwanja kimoja cha kisasa. 😂😂😂

Leta vimradi vyako vya Nairobi nakungoja.
End of story. Nicxie and nairobae si niliwaambia atapost Stadium na amalizie hapo😂😂🤣
 
Back
Top Bottom