Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yaaani kuna watu wataumia mpaka kwa wajukuu πŸ˜‚



Ship to tanga and Tanga port becomes the new PORT GIANT πŸ˜‚



 
why wars tena πŸ˜‚πŸ˜‚ no resting, kule juu somalia uku chini mtadeal na sisi
 
Hivi wanafikiri kujenga pipeline ni kama kula githeri 😁
Sasa hata wakijenga si bado watapita kwenye territorial water yetu lazima watalipia .Inaweza ikawa Uganda wanavyolipa , tunawakaribisha waje kujenga watuongezee mapato 🀣🀣🀣🀣
Na uzuri wakati wa kujenga lazima wataajiri wabongo
 
Will that make Tanzania bigger economy than Kenya?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Sasa hata wakijenga si bado watapita kwenye territorial water yetu lazima watalipia .Inaweza ikawa Uganda wanavyolipa , tunawakaribisha waje kujenga watuongezee mapato 🀣🀣🀣🀣
Hapana Mozambique anaweka mifumo ya LNG hivyo itaweza kusafirishwa na meli. Sisi mpaka LNG ya Lindi ikiwa on stream ndio tutaweza kusafirisha gas kwa meli ila kwa sasa mpaka tuwe na pipeline. kujenga pipeline toka Dar mpaka Mombasa inaweza ikala 2 billion USD ukiwaambia watoe hiyo hela tujenge pipeline hawana kazi lawama tuu ndio walichozoea.
 
it wasnt designed for electricity, BTW dont think its all about building poles, every 50km, train has to switch power stations in reference Tanzania had to build a brand new DAM
mwambie at every 50km along the rail kuna power station na pia kuna multiple connections from the national grid to ensure power is ever present hata kama a section ya grid ikiwa down hapa bado miundombinu mingine ya poles and caternary cables. electric trains sio sawa na kula mokimoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…