Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta data Buda hatutaki maneno?
Nairobi Iko na 13.1 bil au 262 bil tsh as per 2024/2025
Kumbuka nyinyi mpaka health facilities mnazijumlisha kwenye osr ila sisi tunazireport tofauti kama mapato lindwa.
Nairobi is 13.8B. Now Mr. Know it all, ebu tuambie how 262B ya kitanzania is bigger than 13.8B ya Kenya.
 
Nywelee ngumu mna shida ya uelewa sana.

Haya weka hapa mkataba wa ujenzi na mkandarasi ni nani? Weka details zote hapa.
Unakumbuka mkiitisha construction board ya expressway? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hahaha yani hujapata construction board mpaka leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

is that construction board show me ??πŸ˜‚πŸ˜‚ zoom and show me

wenzetu bado wanatafuta construction board ya express way πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nairobi is 13.8B. Now Mr. Know it all, ebu tuambie how 262B ya kitanzania is bigger than 13.8B ya Kenya.
Chizi kweli hiyo ni yenu dar Iko na 400 bil ikiwa ni pamoja na health facilities , mwaka huu inaenda 465bil sawa na 23 bil ksh🀣🀣🀣
 
Nadhani ungepost picha moya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uliokusudia mana hizo zingine ni takataka.. anyways unatutishia hizo affordable housing projects.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nywelee ngumu mna shida ya uelewa sana.

Haya weka hapa mkataba wa ujenzi na mkandarasi ni nani? Weka details zote hapa.
Hata Talanta Stadium mliitisha hizo details zote mlisema haitajengwa, Leo mmebaki mkilia Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…