Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,152
- 107,718
Huyu Ruto mbona anaongea sana kama mlevi?
Sasa ingekuwa ni mtanzania ndo kawafanyia hivyo , ungesikia kelele dunia nzima
huwa wanadai tunawa-hate utawapata online wakipiga njuru!Sasa ingekuwa ni mtanzania ndo kawafanyia hivyo , ungesikia kelele dunia nzima
Lait hizi kg zadhahabu zingekuwa zetu na kuziuza wenyewe.
Westlands, a district in London ya watanzania.
View attachment 3581079
Tanzania has been taking off since 1932 lakini Hadi WA Leo there's nothing to show.
Hivi unajua serikali inakula hela nyingi sana kuliko hata hao wawekezaji.muhimu ni kuboresha mifumo ya ukusanyaji tu.Lait hizi kg zadhahabu zingekuwa zetu na kuziuza wenyewe.
Nini shida?
Hili jengo mbona haliisho lipo miaka nenda miaka rudi?this ish can only be found in Tanzania. This one is a town in Tz. ๐๐พ moshi town.. mind you, these pictures are just showing half of the town View attachment 3580852View attachment 3580853View attachment 3580856while this is a city in the same country.. Mbeya city ๐๐พView attachment 3580857View attachment 3580858๐๐๐ Dah. Kama si sababu za kisiasa, ni sababu zipi zinazoipa hadhi Mbeya kuwa jiii.? President of China. Kulingana na vigezo alivyoleta jamaa zetu wa mbeya.?
nangoja njuru hapo June! Tuone ili choyo ya kwenda Mozambique for LNG na kwenda Ethiopia for power!