Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,092
- 5,504
Aah hapa unaongea uongo bhana. Bandari ya Tanga inazidi na wala hairudi nyuma. Usitulinganishe na wauza mchele mkuu.Mimi huko natembelea na hii kazi ya tathmini tunaifanya sana naweza kukuambia mpaka mwakani au 2026/2027 inajikadiria kiasi gani Cha mapato ila wewe utategemea kupata data za mtandaoni.
Siri moja nikupe tu mwaka karibia majiji yote yata double mapato ila Tanga haiatavuka bil 27 ila mbeya itazid hapo
maisha kwel hayana Formular, tanzania haina mafuta alafu Net exporter wa mafutaHakuna jinsi lazima mafuta yasafishiwe Tanga mahali pipeline inapo land for local consumption and exports via marine tankers and trucks. It also makes business sense to rope in DRC oil via a short pipeline to the EACOP na pia South Sudanese oil. Pipeline ya Kenya itabidi iende Uganda Kwanza ikaungane na ya South Sudan ndio ishuke Hoima then Tanga.
kuitamka tu shidaSasa ukitaka kumpa mtihani wa kufeli muulize anaijua Kariobangi Fc ๐
Kaka mimi sitaki kukukosea adabu. Japo kuwa unaipenda sana mbeya. Nafurahi maana vigezo uliviweka mwenyewe. Kigezo nambari moja tumekubaliana sasa naomba tuende kwenye vigezo hivi:Mkuu unazijua main source ya mapato ya mbeya na Moshi au Tanga ni zipi ?
Unajua mbeya jijini mapato makuu hayatokani na kilimo Wala ufugaji.
Issue unangalia majengo tu ila ukija kwenye economic activities mbeya Iko mbali sana , ungesema arusha au mwanza sawa ila Tanga na Moshi bado sana .
Kaka naumia sana kaka. Mwenzetu hataki kabisa kukubaliana na hilo. Tumekubali kuwa Mbeya inaizidi moshi kwenye mapato kutokana na Moshi hakuna kilimo. Je vigezo vingine vipi?this ish can only be found in Tanzania. This is one is a town in Tz. ๐๐พ moshi town.. mind you, these pictures are just showing half of the town View attachment 3580852View attachment 3580853View attachment 3580856while this is a city in the same country.. Mbeya city ๐๐พView attachment 3580857View attachment 3580858๐๐๐ Dah. Kama si sababu za kisiasa, ni sababu zipi zinazoipa hadhi Mbeya kuwa jiii.? President of China. Kulingana na vigezo alivyoleta jamaa zetu wa mbeya.?
Leta data Mimi napenda data sio maneno matupu. Kama ni bandari, unajua bandari ya mtwara Iko busy sana kupakia makaa ya mawe daily na mizigo mingine kuizid Tanga? Ila pamoja na yote mtwara haipngozi kimapato.Aah hapa unaongea uongo bhana. Bandari ya Tanga inazidi na wala hairudi nyuma. Usitulinganishe na wauza mchele mkuu.
Kaka kigezo hicho tumekubaliana. Sasa twende vigezo vingine 2,3 na 4. Mbeya inakaaLeta data Mimi napenda data sio maneno matupu. Kama ni bandari, unajua bandari ya mtwara Iko busy sana kupakia makaa ya mawe daily na mizigo mingine kuizid Tanga? Ila pamoja na yote mtwara haipngozi kimapato.
Unajua Kila semi ya makaa ya mawe inayoingia mtwara bandari inalipa almost 30,000 tsh kwa siku na kuna semi zaid ya 500 hushusha mizigo ?
Wewe usibishe kqa maneno leta data.
Mimi nishakuwekea ya Tanga versus mbeya kwa miaka mitatu na hakuna mwaka Tanga imeizid mbeya
Basi wauza mchele wanatuzidi kimapato and it for obvious reasons.. ila ki miundombinu hakuna kitu, ni aibu tupu. Ni yale yale niliyosema Mbeya ni kijiji kikubwa chenye watu wengi.Leta data Mimi napenda data sio maneno matupu. Kama ni bandari, unajua bandari ya mtwara Iko busy sana kupakia makaa ya mawe daily na mizigo mingine kuizid Tanga? Ila pamoja na yote mtwara haipngozi kimapato.
Unajua Kila semi ya makaa ya mawe inayoingia mtwara bandari inalipa almost 30,000 tsh kwa siku na kuna semi zaid ya 500 hushusha mizigo ?
Wewe usibishe kqa maneno leta data.
Mimi nishakuwekea ya Tanga versus mbeya kwa miaka mitatu na hakuna mwaka Tanga imeizid mbeya
Kaka mimi sitaki kukukosea adabu. Japo kuwa unaipenda sana mbeya. Nafurahi maana vigezo uliviweka mwenyewe. Kigezo nambari moja tumekubaliana sasa naomba tuende kwenye vigezo hivi:
2. Shughuli za kiuchumi
Uchumi imara wenye biashara, viwanda, huduma, masoko, benki, na mapato ya ndani ya kutosha.
Uwezo wa kukusanya mapato ya kuendesha huduma za jiji.
3 .Miundombinu
Barabara za uhakika
Maji safi
Umeme
Hospitali
Shule
Mfumo wa taka
Huduma za usafiri
4. Mpango wa matumizi ya ardhi
Urban planning/master plan rasmi
Maendeleo yaliyopangwa badala ya makazi holela
Bongo tunafanya vitu vingi kwa siasa tu kaka. Mbeya haukapaswa kupewa hata hadhi ya Town, wafix kwanza miundombinu ndio wawafkirie kuwapa walau hadhi ya Town. Kwenye suala la hadhi ya jiji inafanaa kuwafkiria baada ya miaka 20 labda.Kaka kigezo hicho tumekubaliana. Sasa twende vigezo vingine 2,3 na 4. Mbeya inakaa