ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,458
- 89,880
Watu wa Tanga kwenye tembe mkijenga uwanja mje Sasa tujadiliane kuhusu Uchumi vinginevyo level zenu ni Tabora na Geita ππππwewe Mmbeya hunaga hoja nyingine zaidi ya kujimwambafy?
Haha wewe sema unaingisha kwenu tu ila ukweli kigoma Mchele hata UNGA uko bei ya juu kuliko hata darumejaa pale mlimani, naukubali vibaya mno
https://www.facebook.com/pataendelea tu wala usiwe na shaka
Sawa. Upo mkoa wa Mbeya lakini ki ukweli mbeya haiwezi kuifikia Tanga. Mimi siyo mtu wa Tanga lakini nimewahi ishi Tanga na Mbeya. Sijaua mpaka leo kwanini Mbeya iliitwa jiji. Inazidiwa na Moshi.Punguzeni Ujinga,kwamba Songwe Viwandani ni Mkoa wa Songwe au siyo? πππππ
Jengeni kwanza uwanja ndio tuje kujadiliana.
Sawa Tufanye mnalima maparachicho haya chimbeni na dhahabu basi ππππTanga inazidiwa na Mbeya kwa kilimo cha mpunga tu. Maana hata maparachichi yanalimwa Tanga
Haiwezekani kuifikia Kwa lipi kwenye hako kamkoa kalikojaa tembe?Sawa. Upo mkoa wa Mbeya lakini ki ukweli mbeya haiwezi kuifikia Tanga. Mimi siyo mtu wa Tanga lakini nimewahi ishi Tanga na Mbeya. Sijaua mpaka leo kwanini Mbeya iliitwa jiji. Inazidiwa na Moshi.
Mwenyew ulidhani hiki ni kichaka chako cha kujicha eeh. .? πππ Tanga iko na airport hata kabla ya JNIA tena sahii hadi air tz zinashuka. ππΎUmeishiwa tayari .Tanga level zake ni Tabora
Mkipata uwanja mje tujadiliane kuhusu Uchumi ππ
View: https://youtu.be/T4DfamFpQQQ?is=j1wvPNFB2UJFx9AS
Hiyo ni airstrip sio uwanja,hakuna ndege inatua usiku hapo.Mwenyew ulidhani hiki ni kichaka chako cha kujicha eeh. .? πππ Tanga iko na airport hata kabla ya JNIA tena sahii hadi air tz zinashuka. ππΎ
View: https://www.instagram.com/reel/C-7zUtoChhJ/?igsh=eHN5MWFobzRmOGsx.
Tufanye uwanja mnao haya jengeni Barabara kwanza ndio mje tujadili uchumi π₯π₯ππMwenyew ulidhani hiki ni kichaka chako cha kujicha eeh. .? πππ Tanga iko na airport hata kabla ya JNIA tena sahii hadi air tz zinashuka. ππΎ
View: https://www.instagram.com/reel/C-7zUtoChhJ/?igsh=eHN5MWFobzRmOGsx.
Moshi townSawa. Upo mkoa wa Mbeya lakini ki ukweli mbeya haiwezi kuifikia Tanga. Mimi siyo mtu wa Tanga lakini nimewahi ishi Tanga na Mbeya. Sijaua mpaka leo kwanini Mbeya iliitwa jiji. Inazidiwa na Moshi.
Mkimaliza bishana leten mapato ya Tanga na mbeya , mbeya jiji Ina bil28 Tanga Iko na 27bil kimkoa Tanga Iko na 60bil mbeya Iko na 90bil ,amueni nyinyi sasa nani yuko juuUmeishiwa tayari .Tanga level zake ni Tabora
Mkipata uwanja mje tujadiliane kuhusu Uchumi ππ
View: https://youtu.be/T4DfamFpQQQ?is=j1wvPNFB2UJFx9AS
Ujiji unalipima kwa mapato na idadi ya watuMoshi town
Iringa town
Morogoro town
Shinyanga town
Bukoba town
Geita town
Musoma town
Singida town
Hizi zote ni zaidi ya Mbeya. Sijui ni nani aliipa hiyo mbeya hadhi ya jiji, aibu tupu wanatutia, jiji gani linapitiwa na barabara moja ya lami mji mzima.? πππ
Kumbe air tz wana mabasi yanayopaa.? Na hausemi.? πππHiyo ni airstrip sio uwanja,hakuna ndege inatua usiku hapo.
Upuuzi wa hivyo upo Hadi Kahama na Mpanda.
Jengeni uwanja kwanza ndio tujadiliane Uchumi
Heb tafuta walau kilosa ujadili nayo masuala ya miundombinu.Tufanye uwanja mnao haya jengeni Barabara kwanza ndio mje tujadili uchumi π₯π₯ππView attachment 3580757
Kaka unataka kila madini yanayochimbwa Mbeya yachimbwe Tanga. Hata hivyoSawa Tufanye mnalima maparachicho haya chimbeni na dhahabu basi ππππView attachment 3580742View attachment 3580743