Tanga malizenj kwanza nyumba za tembe harafu mkijenga airport ndio mje Sasa kushindana na the Mighty Mbeya.Miradi ya Tanga ikiisha heshima ya miji ya pwani itarudi kama ilivyokua zamani. Hizo takataka sijui mbeya sijui wapi zitabakia kuwa nyuma milele. ๐๐๐ mtapiga kelele tu kama jirani zetu kundustan.
build dry ports n leave the rest to set itself! Mambo ya kulazimisha landlocked countries wachukulie wapi should be on demand and supply basis! Kuna mikoa hata ukihamisha Dar port kwenda huko haitaweza kusimama kama yenyewe! Angalia miradi Kigoma imepewa (SGR, mabarabara, modern airport, upanuzi wa bandari na ujenzi wa bandari mpya, Grid connection na HPE Project, kilimo cha mawese na bado kelele online!) na bado hawaoni na watabaki wakihitaji kubebwa, sisi tuache tu na umwinyi wetu!alafu kweli Geza Ulole wakipiga dry port moja pale Kigoma si tunaongea mengine pale kigoma
View: https://x.com/Adambrv/status/2048821390380237033?s=20
Bora tusikuwe banned na WORLD ATHLETICS, izo zingine ni takataka tu, infact hatujai fika ata world cup since 1963!!!And finally FIFA is in, wale wa AFCON Teargass Nicxie mwaiofhawaii nairobae mtacheza AFCON kwenye skyboxes, its over for you
View attachment 3579538
View attachment 3579539
Maneno ya mkosajiBora tusikuwe banned na WORLD ATHLETICS, izo zingine ni takataka tu, infact hatujai fika ata world cup since 1963!!!
So nothing to loose
Our aim is world stage level,
Olympics los Angeles CA Iko njiani.
Iyo tu ndio itatuuma sio hizi zingine.
Kumbe songwe region ni mbeya eeh.? ๐๐๐Unapiga kelele nyingi sana na hako kamji kako ka kichovu kalikijaa tembe na umaskini hakana hata watu.
Mkipata uwanja wa ndege uje kushindana na Mbeya Third largest Economy in ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐๐
View: https://youtu.be/AUXGjfCAjX8?is=O1vYzizA1fAes33N
Jinga wewe,Songwe Airport ni jina la uwanja kuwakikisha mto Songwe.Kumbe songwe region ni mbeya eeh.? ๐๐๐
sema ukiweka dry port pale kigoma, tutakosa ela nyingi sana, wafuate bana mizigo ndanbuild dry ports n leave the rest to set itself! Mambo ya kulazimisha landlocked countries wachukulie wapi should be on demand and supply basis! Kuna mikoa hata ukihamisha Dar port kwenda huko haitaweza kusimama kama yenyewe! Angalia miradi Kigoma imepewa (SGR, mabarabara, modern airport, upanuzi wa bandari na ujenzi wa bandari mpya, Grid connection na HPE Project, kilimo cha mawese na bado kelele online!) na bado hawaoni na watabaki wakihitaji kubebwa, sisi tuache tu na umwinyi wetu!
Mimi ujue nashangaa mtu kutoka mkoa kama Kigoma, Mwanza au Dodoma kulalamika kuhusu miundombinu kipindi hiki ambacho budget kubwa inaelekezwa huko! Ni uvivu wa kufikiri! Tena na meli zinajengwa!sema ukiweka dry port pale kigoma, tutakosa ela nyingi sana, wafuate bana mizigo ndan
sasa those hazina ela, kwa mfano ukishinda marathon thats a personal achievement rather than a national achievement, For example if you win AFCON thats like 500 new people on the world stageBora tusikuwe banned na WORLD ATHLETICS, izo zingine ni takataka tu, infact hatujai fika ata world cup since 1963!!!
So nothing to loose
Our aim is world stage level,
Olympics los Angeles CA Iko njiani.
Iyo tu ndio itatuuma sio hizi zingine.
Nimefurahi sana mtu kutoka huku upumbavuni ananipigia kelele. Mbeya/upumbavuni city ๐๐พ๐๐๐Tanga malizenj kwanza nyumba za tembe harafu mkijenga airport ndio mje Sasa kushindana na the Mighty Mbeya.
View: https://youtu.be/E3DBRRrq0Dk?is=-p9giw59QwPtIpsu
unajua sio kila mtu ana spirit ya kufanya kitu kipya kama Biashara, kwahio lazima uende naopole pole, BTW mm mdau sana wa mchele wa kigoma, watu wanajua wa mbeya ila wa Kigoma funga kaziMimi ujue nashangaa mtu kutoka mkoa kama Kigoma, Mwanza au Dodoma kulalamika kuhusu miundombinu kipindi hiki ambacho budget kubwa inaelekezwa huko!
hili bifu lenu limeanza lini? mbna mshakua personal sanaNimefurahi sana mtu kutoka huku upumbavuni ananipigia kelele. Mbeya/upumbavuni city ๐๐พ๐๐๐View attachment 3580681View attachment 3580682while Tanga city ๐๐พView attachment 3580684View attachment 3580685View attachment 3580693View attachment 3580694mbeya ni hadhi ya vijiji kama Pangani Tanga or Korogwe. ๐๐๐ you ainโt even close to Tanga city. Mji uliopewa hadhi ya jiji kishabiki. Takataka ๐ฎ