Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1776518142104.png
 
usisahau Uganda's oil is to start to flow from June! Next year it will be over 10% growth! n mind u true growth na si vitu vya kupika kama Ethiopia na Kenya!
hahdi nshasahau 🤣 🤣 yaani tunawaza AFCON sana mpaka tushasahau vitu vingine
 
saahii washaanza kuji-doubt wanajibizana huko online!
wakenya kwao mpira ni kama wameanza kuangalia juzi, mafanikio yao kila wakiongea utaskia CHAN 🤣 🤣 wakati uku ndo kwanza hata mashabiki kulikua amna, hio stadium ndo the best they have ever had they dont know anything else outside that box
 
next year Uganda will be the first!
Tanzania Inaweza ikawa juu, kuna viwanda vingi sana vilikuwa vinajengwa hapo katikati ndo vinaanza kufunguliwa hivi sasa. Pia sgr itakuwa imeanza kuingia bandarini na tazara itakuwa imeanza kuoperate kwa udogo hivyo exports zitakuwa kubwa, pia miaka hii miwili serikali imeajiri sana hivyo efficiency itaongezeka tofauti na hapo nyuma.
Mfano hata ukiangalia makadirio ya bajeti ya tamisemi kwa miaka miwili halmashauri nyingi zimedouble mara mbili ikiwa na maana mapato yameongezeka.
Mfano tandahimba ilikuwa na bil 5 ila mwaka huu nadhani wataenda mpaka 10bil.
Dar nahisi watafika bil 490 au 24bil ksh ila kumbuka Nairobi kwenye osr bado kufikia 15bil ksh🤣🤣🤣
 
Kwa maana ya design nzuri pamoja na functionality, hili ni eneo jingine Wakenya wanaenda kulaumiana tena juu ya Tanzania baada ya BRT na SGR….🔥
View attachment 3574904View attachment 3574905View attachment 3574950View attachment 3574951
View attachment 3574952
The way you are hyping this p*ussy mtu anaezadhani ni Kitu cha ajabu kumbe ni a 20k seater Stadium building in the middle of nowhere.

Naona anaongelea functionality, ebu tuambie ni functionality gani that thing has that even Nyayo Stadium doesn't have?
 
Back
Top Bottom