stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,319
- 33,841
uwanja wa wap tena huu, mji ushakua na viwanja kila kona
znzuwanja wa wap tena huu, mji ushakua na viwanja kila kona
Tukikaza kwa mwendo huu huu, kwa miaka 10-15 mfululizo, tutakuwa mbali.Mnakumbuka yule kondoo tulivyomuambia Tanzania kuna brand zaidi ya kumi zinatengeneza Tv akawa anabisha!
View attachment 3574803
project gani?we mwanza si wamewekewa hizi
View attachment 3574901
View attachment 3574903
na ile project yao ya haya mabasi ianze sasa
View attachment 3574902
kuna phase imekua proposed yatumike hayo magari ya double deck mda kidogo ila sjaona kama bado wameanzaproject gani?
Unakatwa ww sio bureSo you expect a 20k seater Stadium to defeat a 60k seater Stadium? Ndio maana wewe ni chokoraa.
View: https://youtu.be/xFumCfzzrX0?si=jjUwyqZ3f5nkN6MI
MY TAKE
Watu wa kuongea nao kama peers mambo ya SGR! Na si watu wa wagons za kuvutwa na punda!
Sasa hivi kuna viwanja Rundo vipo U/C Mmoja Enoe la wazi pale Opposite na Ubalozi wa Marekani ( Unaitwa Dar sports City, Mwingine Pale uwanja wa Farasi Oysterbay na mwingine pale Ada Estateuwanja wa wap tena huu, mji ushakua na viwanja kila kona
na tena saahv tena za CAF ni 4, kazi kwel kwelSasa hivi kuna viwanja Rundo vipo U/C Mmoja Enoe la wazi pale Opposite na Ubalozi wa Marekani ( Unaitwa Dar sports City, Mwingine Pale uwanja wa Farasi Oysterbay na mwingine pale Ada Estate
Kitu hiyo. View attachment 3574943Kitu kikiwa usiku hiyo. Huu uwanja ukiisha wasenge watanyamaza kimyaa View attachment 3574944View attachment 3574945