Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂 Ok how does this work? which year did Tanzania sgr do more number than Kenya sgr?
Jaribu hata kufikiria, within 24 months it has carried 5.512mil or monthly average carriage 229,000 passengers compared to kenya which achieved 7.78 mil passengers after 60months with monthly average 129,000 ,half the Tanzanian sgr.
NB: Goods aren't included
 
Umesahau kuna mfungaji mkubwa kuku anayetoa tray 3000 kwa siku, kuna viwanda vikubwa vya maji viwili, kuna viwanda vya kusindika UNGA wa sembe lukuki ila ndo the least developed region kwa tanzania
 
Halafu kigoma si Ile mikoa ambayo ndo the least developed ,yaan hii ni kama kulinganisha na wajir ila wajir hata zile mashine za posho mill hawana,🤣🤣🤣
Hizo stori zilikuwa za miaka hiyo wakati miundombinu ya umeme na Barabara haijafika ila Kwa Sasa mambo ni 🔥 🔥 🔥

Bado Mikoa isiyozidi 4 kupata umeme mkubwa wa kusapoti Viwanda vikubwa.

Mwaka huu wanazima kitambo yadizeli Rukwa na kuwasha umeme wa gridi ya Tiafa wa kv 400
 
Rukwa itakuwa ni moto mwingine, hiyo mikoa wanalima ila baada ya muda mahindi Bora hata dar🤣🤣🤣
 
Rukwa itakuwa ni moto mwingine, hiyo mikoa wanalima ila baada ya muda mahindi Bora hata dar🤣🤣🤣
Hakuna mtu ambae Kwa Sasa anahama Mkoani kwenda Dar au kutoka Vijijini kwenda mjini Kwa sababu kila sehemu Kuna fursa umeme upo,maji yapo na Barabara zipo.

Kazi kubwa iliyosalia Kwa Sasa ni Barabara ndio Kilio kikubwa.
 
Huu ndo muda wa trc wangejiongeza ilitakiwa waweagiza trucks za lng kwa ajili ya kutoa mzigo isaka kwenda Kampala na treni ya mizigo ianze shushia makutupora wafanye transfer kwenda mgr
Ni ngumu TRC kununua Trucks. Itakuwa nje ya malengo yao
 
  • Benjamin Mkapa stadium
  • New Amaan stadium
  • Azam Complex
  • General Isamuhyo Stadium
  • Tanzanite Kwaraa stadium
  • Mkwakwani Stadium
  • CCM Kirumba stadium
  • Airtel Stadium Black Stars
  • Gombani Stadium
  • KMC Comolex

Upcoming👇
  • Arusha Stadium
  • Dodoma Stadium
  • Fumba stadium

Underrated👇
  • Nyamagana stadium
  • Tuliani stadium
Hizo zote ni vibanda except Makwapa.
 
Back
Top Bottom