Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi has many dense skylines, niliona mwingine hapa akituwekea skyline ya ghorofa moja, ingine nayo ina ghorofa tano kando ya barabara. 😂 😂 😂

Image
 
Kuna umuhimu shirika lijiendeshe kibiashara , tuachane na mentality za kusema haiwezekani
Lengo la reli ni kusafirisha mzigo kwa reli na kupunguza foleni na maroli barabarani kwa gharama nafuu.

Hawawezi tena na wao kununua maroli.

Kutakuwa hakuna maana ya reli.
 
Jaribu hata kufikiria, within 24 months it has carried 5.512mil or monthly average carriage 229,000 passengers compared to kenya which achieved 7.78 mil passengers after 60months with monthly average 129,000 ,half the Tanzanian sgr.
NB: Goods aren't included
Let's compare your monthly passengers with Kenyan monthly passengers.
 
Huu ndo muda wa trc wangejiongeza ilitakiwa waweagiza trucks za lng kwa ajili ya kutoa mzigo isaka kwenda Kampala na treni ya mizigo ianze shushia makutupora wafanye transfer kwenda mgr
ndo pla iliopo ila yenyewe inavotakiwa kua ni kuna kituo kipo apo katikatik wamepewa congo wenyewe, alafu kuna burundi nao, rwanda, zambia ndo wanataka sasa hawa wengine nao wapate bandari kavu ya pamoja
 
Uzuri ya Kenya huwa hatubebwi ufala. Yani kelele ya siku moja imefanya bei ya petrol and diesel ikarudi chini😂😂

1000243714.jpg
 
  • Benjamin Mkapa stadium
  • New Amaan stadium
  • Azam Complex
  • General Isamuhyo Stadium
  • Tanzanite Kwaraa stadium
  • Mkwakwani Stadium
  • CCM Kirumba stadium
  • Airtel Stadium Black Stars
  • Gombani Stadium
  • KMC Comolex

Upcoming👇
  • Arusha Stadium
  • Dodoma Stadium
  • Fumba stadium

Underrated👇
  • Nyamagana stadium
  • Tuliani stadium
CCM Kirumba Stadium, alafu mnasema Tanzania has better Stadiums than Kenya?🤣🤣🤣😂👇👇

1776280736989.jpeg
 
Kelele za sijui CAF, sisi tunatambua FIFA bana, CAF ni wa nchi ndogo ndogo kama bongoslum. 😂 😂 😂


View: https://x.com/ntvkenya/status/2044460032516030677?s=20

Hii Ingekuwa Bongo hatungepumua hapa 🤣🤣🤣… ungesikia ati FIFA inajua nani bingwa wa Mpira na hadithi zingine za ufala … then they would make sure to repost this every day next to Kibera …🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom