Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iweje CHATTLE ijengwe kabla ya Msalato? Utawahamisha mabalozi waende kakijiji ambacho hakana hata International Airport?
nielezee chattle ni nini nasubiri jibu, mm toka mwanzo nilijua wewe mkenya sasa nataka nikubane vzr alaf nikuanike kua wewe ni mkenya
nasubiria jibu chattle ni wapi?????
 
building a 90k stadium and no international airport in dodoma...congrats magufuli
msalato international airport in dodoma iko ndani ujenziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kazi munayo safari hiii

sio 90k tu sema one of the modern stadium in africa
 
nielezee chattle ni nini nasubiri jibu, mm toka mwanzo nilijua wewe mkenya sasa nataka nikubane vzr alaf nikuanike kua wewe ni mkenya
nasubiria jibu chattle ni wapi?????
Kama hujui basi sio lazima
 
Yeye aliuliza swali ila wewe umevuruga kabisa, kwani hizo timu lazima zishuke mji wenye uwanja mkubwa straight away kutoka kwao?, timu zote zinazoenda kucheza katika viwanja mbalimbali South Africa, zinafikia kwanza Oliver Tambo Airport J'burg, then zinaunganisha domestic planes, kwanini wasifikie Dar, then wakaunganisha na ndege zingine hadi Dodoma?, lakufurahisha zaidi ni kwamba kutakuwa na train za kisasa za abiria kati ya Dodoma na Dar, kwahiyo itakuwa rahisi sana kuendesha mashindani kwa kutumia viwanja vya Dar na Dodoma kwa wakati mmoja kutokana na usafiri wa train, huwanja huu ni miongoni mwa miradi itakayoufanya mji wa Dodoma kukua kwa kasi na kuufanya uwe na sura ya mji mkuu wa nchi, na bado, kutajingwa Hospital kubwa sana ya thamani ya karibu $300 millions, yote hii ni kuufanya mji huu uweze kumudu idadi kubwa ya watu inayoongezeka kwa kasi, hasa balozi mbalimbali na wafanyakazi wa UN wanaohamisha makazi toka Dar to Dodoma.
 
msalato international airport in dodoma iko ndani ujenziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kazi munayo safari hiii

sio 90k tu sema one of the modern stadium in africa
haha its shamefull to have such a stadium in a village
 
Kama hujui basi sio lazima
hahahahah πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mm nilijua wewe mkenya ndio maana sikua na haraka kabisa

sasa tanzania hakuna sehemu inaitwa chattle
sehemu inaitwa chato tanzania ni sehemu moja muhimu sna kaskazini magharibi mwa tanzania
 
u dont want criticism everything magufuli does is right thats why u will remain LDC s with all those resources
alikua haijui chato inaumuhimu gani tanzania, kwanza asome geography ya tanzania alaf aangalie chato iliko alaf aangalie imepakana miji mingapi ndio atajua kwann tumejenga airport hukoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hahahahah πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mm nilijua wewe mkenya ndio maana sikua na haraka kabisa

sasa tanzania hakuna sehemu inaitwa chattle
sehemu inaitwa chato tanzania ni sehemu moja muhimu sna kaskazini magharibi mwa tanzania
Ina umuhimu gani?
Inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa? Makusanyo ya kodi je? Inaleta watalii au kuna makampuni yamewekeza huko? Kuna chochote kinachozalishwa huko tunachouze nje?
 
Ina umuhimu gani?
Inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa? Makusanyo ya kodi je? Inaleta watalii au kuna makampuni yamewekeza huko? Kuna chochote kinachozalishwa huko tunachouze nje?
kwan wewe unadhamini migodi yote ya geita iko wapi????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

mazao ya mpunga maharage yanayotoka nyakanazi na marneo jirani yako wapi????

fishing industryπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

tena chato ni sehemu muhimu sana tena sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…