COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Under 1500...soma hadi chini 1353now is 1500MW not 1300MW and it was 2016 😀😀
Under 1500...soma hadi chini 1353now is 1500MW not 1300MW and it was 2016 😀😀
Soma maelezo yote usiwe mvivu. By 2019 tayari 5000mw zitakuwa tayari. By 2025 tunaacha kutumia mw tutakuwa na 10GW.This is the government official web...only 30% connected under 1500 mW
Tanzania - Energy | export.gov
But now 1.3 GWSoma maelezo yote usiwe mvivu. By 2019 tayari 5000mw zitakuwa tayari. By 2025 tunaacha kutumia mw tutakuwa na 10GW.
ndugu hii sio ile tanzania ya 90s sasa hvi tuna over 1800MW na mwaka huu tunapokea project zifuatazoUnder 1500...soma hadi chini 1353
Naona sasa hivi atajifungia na kuanza kutokwa kamasi. This is not 90s tzndugu hii sio ile tanzania ya 90s sasa hvi tuna over 1800MW na mwaka huu tunapokea project zifuatazo
kila project na mwaka ulioanza
View attachment 670370
sasa hapo hapo jumlisha
stiglers gorge dam 2100MW umeanza 2017
mchuchuma coal 600MW umeanza 2017
singida wind project 100Mw tayari ushakamilika
😀😀😀😀😀 huyo bogusNaona sasa hivi atajifungia na kuanza kutokwa kamasi. This is not 90s tz
Bro pole bana,hata china wakati anaisogelea japan,maongezi baina yao yalikuwa ni hivi.1350 MW kwa nchi ya watu 55 million..SHAME ON YOU
Bro pole bana,hata china wakati anaisogelea japan,maongezi baina yao yalikuwa ni hivi.
Lakini sasa japan amekubali na maisha yanaendelea.

Kwahiyo wewe unaijua Kenya kuliko sisi Wakenya!!?Kwahiyo wewe unaijua TZ kuliko sisi Watanzania!!?
Ukiongeza hizo vinyesi zote bado ni 1.3GNow is 1.8GW punguza wivu wa kike. stieglers gorge dam by 2019 litatoa 2100mw. Upo? Kinyerezi 600mw.
1800 + 600+2100 =5400mw or 5.4Gw by 2019
Kwa hivyo na nyinyi mnapoleta taarifa za Kenya huku yamaanisha kwamba mnajua Kenya kutuliko sisi wakenya?Kwahiyo wewe unaijua TZ kuliko sisi Watanzania!!?
Yani serikali tu ndio itakua inajenga Tanzania
Hii ata isiolo iko juu
Vipi kaka blaza, I thought you are allergic to renders! Kumbe hata wewe wapost renders? Maajabu ya Musahuu ndio uwanja wa kisasa unaojengwa dodoma utakua na uwezo wa ku handle 90000 people and will be the second largest in africa and among the modern stadium in Africa, cost yake ni 100m usd
View attachment 670411
View attachment 670418
View attachment 670421