Hapana hii ni ideology ya watu wa kitaambo. Saiv ukijinga majengo marefu kwa mji caliber ya Arusha unaifanya ipendeze zaidi. Ngoja nikupe mfano. Hii apo vancouver city. View attachment 3571454
If you are not stupid to care, then why are you all pained by Kenyan GDP?Let them have even a USD 700B GDP even tommorrow. We are not that stupid to care.
Stadium for the baboons with no roads.Hii stadium ya Arusha ukiangalia picha zake unaweza kusema ni China, kumbe ni Africa hapahapa 😍😍
View attachment 3571221View attachment 3571222View attachment 3571223View attachment 3571224View attachment 3571225View attachment 3571226View attachment 3571227View attachment 3571228View attachment 3571229
These kind of views can only be found around Talanta Stadium and Nyayo. Kule kwenu kwa Makwapa kando yake ni slum na Arusha mini stadium is surrounded by thick forests with no roads.hata ikiwa 10 lines za LED adverts! ukitoka nje flying toilets kila kona! enough adverts!
Wewe una stress baada ya nyumba yako kubebwa na floods Naipori mwezi March, kwa hiyo sishangai ukiandika nonsenseStadium for the baboons with no roads.
Ati with no roads, hii ni matako yako?These kind of views can only be found around Talanta Stadium and Nyayo. Kule kwenu kwa Makwapa kando yake ni slum na Arusha mini stadium is surrounded by thick forests with no roads.
View attachment 3571537
Yeah ni design nzr sn, imeenda extra miles, tofauti na viwanja vingi vya ki Africa ambavyo ni Amahoro like a design.Sema nini huu uwanja wakimaliza kuuezeka hakuna takataka yoyote ya kutia pia hapa, ukanda mzima huu. 👇🏾View attachment 3571188View attachment 3571187View attachment 3571189washaanza kuezeka. Ndani ya mwezi mmoya mzigo utakua na maganda yake, na hapo tutakua tumewakata ngebe wakunya. Mana hiyo exterior design ya huu uwanja ni out of this continent of Africa.
This is a road that is 5km away from the stadium. Show us the road heading to the stadium like this👇👇Ati with no roads, hii ni matako yako?
View attachment 3571538
Hapa designer alitulia, sema cjajua ni kwnn waliupeleka porini namna hii, kwnn wasingeuweka Arusha town, hili eneo mpk lipambazuke itachukua muda. Hawa planners wetu mbn huwa hawafikirii kwa undani.Sema nini huu uwanja wakimaliza kuuezeka hakuna takataka yoyote ya kutia pia hapa, ukanda mzima huu. 👇🏾View attachment 3571188View attachment 3571187View attachment 3571189washaanza kuezeka. Ndani ya mwezi mmoya mzigo utakua na maganda yake, na hapo tutakua tumewakata ngebe wakunya. Mana hiyo exterior design ya huu uwanja ni out of this continent of Africa.
Amahoro like a design.This is a road that is 5km away from the stadium. Show us the road heading to the stadium like this👇👇
View attachment 3571540
Says a Watchman guarding dog houses.Amahoro like a design.
Africa bhn, iligoma kabisa kuwa modern 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna huu uwanja umezungukwa na mabanda. 😂😂😂
View: https://x.com/crystalcf4/status/2042908860701098344?s=46