Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,589
- 15,696
Tanzania ifikirie kujikomboa kutoka ldc kwanza kabla ya kuokoa EA ama AfricaLDC ni bibi wa Africa.
Tanzania ifikirie kujikomboa kutoka ldc kwanza kabla ya kuokoa EA ama AfricaLDC ni bibi wa Africa.
They have a long looooong way to get there.Tanzania ifikirie kujikomboa kutoka ldc kwanza kabla ya kuokoa EA ama Africa
Kama unafurahia hivi mast kulipuliwa, je kama ni watu wamekufa?Kwahiyo sikuiz Voice of America waongo
![]()
1350 megawatts ndio current installed capacity hizo sijui 2100 peleka vijiweni watakusikiza.now is 1850MW kumbuka kinyerezi 2 under construction kinyerezi 3 and 4, kumbuka stiglers gorge dam under construction 2100MW kuna wind kuna coal haha tanzania nenda tu😀😀😀😀
huko BBC Swahili wao husherehekea sana......Kama unafurahia hivi mast kulipuliwa, je kama ni watu wamekufa?
Nani aliyefurahia sasa.. Go back to my post then nionyeshe sehm niliofurahia.. Nimekwambia nipe updatesKama unafurahia hivi mast kulipuliwa, je kama ni watu wamekufa?
unauhakika???😀😀😀😀1350 megawatts ndio current installed capacity hizo sijui 2100 peleka vijiweni watakusikiza.
Mkiambiwa muachane na nchi ya watu hamtaki.. Sasa ulimwengu utawasaidiaje.. Hakuna dalili yoyote ya nchi yenu kulishinda hilo kundi ni vyema mkaliita mkae mezani tu muwaombe msamaha basi..huko BBC Swahili wao husherehekea sana......
Unataka updates wakati uko nazo tayari? Furaha yako kubwa imekatizwa kwa kuwa hakuna aliyefariki.Nani aliyefurahia sasa.. Go back to my post then nionyeshe sehm niliofurahia.. Nimekwambia nipe updates
Tatizo lao wanajikuta wajuaji sana na vimbelembele alafu sio wamoja.. Hapa Tanzania watu wanaweza kutofautiana kwa chama lakini likija swala kama hili la kuhatarisha nchi watu wanakua kama familia moja.. Sasa huko Kenya al shabab wakilipua wakifa wajaluo wakikuyu wanacheka, wakifa wakikuyu wajaluo wanacheka yani shida tupu..alaf wanakwambia wako imara
View attachment 670328
unauhakika???😀😀😀😀
na hii ilikua 2015 sasa 1754MW + 180MW kinyerezi one
jumla jumla 1934MW alaf kinyerezi two 240MW + 600MW coal tunapokea mwaka huu aise raha sana
View attachment 670324
Ngoja nikuache tu..maana akili yako ni -0...Unataka updates wakati uko nazo tayari? Furaha yako kubwa imekatizwa kwa kuwa hakuna aliyefariki.
utaumiza kichwa bure😀😀😀Power - TanzaniaInvest
Tanzania Power
Currently (2016), Tanzania’s total power installed capacity is 1,357.69 MW composed of hydro 566.79 MW (42%), natural gas 607 MW (45%) and liquid fuel 173.40 MW (13%).
Tanzania’s power sector contributed about 1% to the country’s GDP with TZS384b in 2015, compared to TZS297b in 2010, representing an increase of 29%.
According to the latest available data, Tanzania’s power sector recorded a growth rate of 7.1% in Q2 2016 thanks to an increase in the quantity of power generated from gas.
The generation, transmission and distribution of electricity in Tanzania is channeled through the Tanzania Electricity Supply Company (TANESCO), which is fully owned by the government and is responsible for 98% of the electricity produced in the country.
Tanzania Power Production
Tanzania’s power resources include hydro, natural gas, coal, uranium, wind, geothermal, biomass, solar, tidal and waves.
Currently (2016), Tanzania’s total grid installed capacity is 1,357.69 MW composed of hydro 566.79 MW (42%), natural gas 607 MW (45%) and liquid fuel 173.40 MW (13%).
😀😀😀😀😀😀Power - TanzaniaInvest

Hiyo yako ni ya 2015 Mie nakupa ya 2016.
Kwahiyo wewe unaijua TZ kuliko sisi Watanzania!!?Power - TanzaniaInvest
The average electricity consumption per capita in Tanzania is 108kWh per year, compared to Sub-Saharan Africa’s average consumption of 550kWh per year, and 2,500kWh average world consumption per year.
However, the demand for electricity in Tanzania is estimated to be growing at 10–15% per year, with currently only 24% of the total population having access to electricity.