President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,649
- 94,286
Hebu weka hilo jengo hapa tulione. Maana hapa Tanzania kuna majengo mengi tu makongwe ya masoko from Zanzibar, Dar es salaam, Bagamoyo and Kilwa. Weka tuthaminisheWe Mzee punguza upumbavu, the honeycomb design kama ya Marikiti ilijengwa in the 70's hata hizo picha umepost can confirm hio design haikua earlier.