With 1350 megawatts of installed capacity as at 2017 and achieve universal electrification by 2021? Hii hata Yesu mwenyewe hawezi fanya miujiza ya ina hii hata albino millioni wachinjwe this remains a pipe dream and a big fantasy your goverment feeds its illiterate people.Wewe akili yako ni ndogo sana, sasa kama by 2020 vijiji vyote vitakuwa na umeme, unategemea by now tupo 30%? can any country in the world connect 70% of its population within three years?, even most advanced countries can't do that. For sure Tanzania will attain universal electrification by 2020/21, currently urbun connectivity is 94% and rural connectivity is 49%.
Bring the data, I don't need stories. and until proven so with linked data, I stand by the only available linked data which is 7600kmHiyo 92000 ni TANROADS nimekuambia subiri nakuletea information zote.
Nimekueleza road Agencies zipo mbili Tanzania. (TANROADS na TARURA)
Mwanzoni TARURA haikuwepo barabara zilikuwa zinahudumiwa na wizara (TAMISEMI - Local Government)
So kwanini usisubiri nikuletee badala ya kuhaha hivi?
Jumla ya barabara za lami hadi mwishoni mwa September 2017 ni kati ya 17,000km - 18,000km. Kenya nadhani ni kama 14,000km, ninatafuta taarifa za Kenya rasmi, nitawaleteeni punde tuHalafu hizo ni za TANROADS pekee. Bado barabara za TAMISEMI.
Source of info please? Mie sinashida na any figure, just bring supporting data.Magu ameshajenga km 1500 tangu aingie madarakani sasa jumlisha 7600 alizokuta utagundua 9100 ndio sahihi kwa sasa!!
Usipende sana Kua king'anganizi
Data zipo bado internal. Nakuambia zikitolewa wakenya watakuwa midogo wazi. Report zilizopo online sasa hivi ni za 2013 ndizo wanazozitumia hawa wakenya.Jumla ya barabara za lami hadi mwishoni mwa September 2017 ni kati ya 17,000km - 18,000km. Kenya nadhani ni kama 14,000km, ninatafuta taarifa za Kenya rasmi, nitawaleteeni punde tu
Wapi link ??Jumla ya barabara za lami hadi mwishoni mwa September 2017 ni kati ya 17,000km - 18,000km. Kenya nadhani ni kama 14,000km, ninatafuta taarifa za Kenya rasmi, nitawaleteeni punde tu
Hmmm, figures keep flying now. So 17000km-18000km is 58% of 86000km? I'm getting confused hereJumla ya barabara za lami hadi mwishoni mwa September 2017 ni kati ya 17,000km - 18,000km. Kenya nadhani ni kama 14,000km, ninatafuta taarifa za Kenya rasmi, nitawaleteeni punde tu
Kwanza uwe na heshima katika ubora wa data zinazotoka Tanzania, ni namba tatu kwa ubora hapa Africa, zenu ni miongoni mwa data mbovu zisizohaminika. Kuhusu hiyo link, ni hadi ulipie, ndiyo uweze kuifungua, ila ngoja nikutafutie ambayo ni free, ukisoma zaidi utafahamu logic ya hiyo statementHehehe, what is it with your websites? unafungua a link inasema makala haikuonekana.
Wewe pia ukitumia akili yako unaona mmeweka lami 58% ya 86000km (changed from someone's 36000km) za Barabara. Kwa hivyo zike 9200km za mwenzako pia chocha? This exactly what I said about Tz and kudanganywa with lack of data to back
No. Siyo namba tatu ni namba mbiliKwanza uwe na heshima katika ubora wa data zinazotoka Tanzania, ni namba tatu kwa ubora hapa Africa, zenu ni miongoni mwa data mbovu zisizohaminika. Kuhusu hiyo link, ni hadi ulipie, ndiyo uweze kuifungua, ila ngoja nikutafutie ambayo ni free, ukisoma zaidi utafahamu logic ya hiyo statement
Sir Collo, nikama my calculator INA shida kidogo. Hebu nifanyie hii hesabu uniambie kama inaingiana juu my Calc says otherwiseWapi link ??
Nina heshima kwa ubora Wa whatever little data if any from Tz. kwa sababu Mara nyingi nikama hakuna data kabsaaa.Kwanza uwe na heshima katika ubora wa data zinazotoka Tanzania, ni namba tatu kwa ubora hapa Africa, zenu ni miongoni mwa data mbovu zisizohaminika. Kuhusu hiyo link, ni hadi ulipie, ndiyo uweze kuifungua, ila ngoja nikutafutie ambayo ni free, ukisoma zaidi utafahamu logic ya hiyo statement
Nilitaka nimpe za uso huyu Livale ila kwa heshima yako ngoja nimwache.Mbona unahangaika sana. Issue ya umeme iliisha jana. Leo tunaongelea barabara. Tuanze kazi sasa.
Tatizo lenu ninyi wakenya ni wavivu sana kutafuta information, kazi yenu ni kuomba tu, mimi ninachozungumza huwa ninakuwa na uhakika, soma vizuri hii article na ulinganishe nilichosema hapo juuHmmm, figures keep flying now. So 17000km-18000km is 58% of 86000km? I'm getting confused here
Na link ya 17000-18000km ii wapi?
Choko ndio nini.... Chocolate ama
Kenya gets 2,600km of tarmac roads in two years
Tofauti kati ya Tanzania na Kenya nimkwamba, Tanzania inajenga zaidi barabara za mikoani, wakati Kenya inajenga zaidi barabara za mijini na flyovers, kama hii article inavyothibitisha.
Masaki..Mikocheni..Mbez Beach..Oysterbay...Moroco..Victoria...Makumbusho...Kinondoni...Sinza...Nyerere road...Dar ni kubwa sana ndugu tembea uonehuo mji wa Dar hapana.........outside the cbd kariakoo and upanga areas kwengine kote ni ugly sana