Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,541
- 15,626
Ndio maana nimekuambia beauty is in the eye of the beholder. Unawezapata mwanamke anaonekana mrembo sana kwa macho yako ila kwa mtu mwingine, haoni mvuto wowote kwake. Kilicho kizuri kwako sio lazima kiwe kizuri kwa Kila mtu. Umesikia bongolala?Kitu kenye utakimbilia ni capacity tu, ila uzuri wa hizo facilities unaonekana kwa macho tu ya mtu yeyote mwenye akili za kawaida.
But the fact remains, hakuna uwanja umetengenezwa kwa technology ya hali ya juu ukanda huu kuliko Talanta. This is a verifiable fact