Kwan hizi ndege zina investors wangap
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2037031794424328537?s=20
Yaani investor aje anunue deni wakati performance iko kwenye doldrums ni kichekesho huu ni mzigo wa serikali peke yake hakuna wa kuibeba KQ zaidi ya GoK