Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndo maaana uwanja wa FUMBA Ulikua unakimbizwa sana, watupe tu sisi na uganda mambo yasiwe mengi 🤣🤣
BTW 2 days to go before deadline ya ela ifike
Ila naiona Rwanda ikienda kuombwa kushiriki! Wakundustani ati wanadai bila wao Afcon haiwezekani!
 

1774557039979.png
 
Ila naiona Rwanda ikienda kuombwa kushiriki! Wakundustani ati wanadai bila wao Afcon haiwezekani!

Wanadhani safari hii CAF itawavumilia kama kwenye CHAN!?

Walijipa umuhimu sana hao kenge wakati ule, mashindano kuahirishwa kisa wao hawakuwa tayari... Na ndio maana hata kipindi hiki walitaka AFCON isogezwe Hadi 2028 wawe wamemaliza uchaguzi. Na ndio maana hawajalipa wakijua watasikilizwa kama mwanzo .

Hawa wapuuzi hakuna sababu ya kufanya nao ishu ya kushirikiana nao... Wana ego ya kifala ya kujipimaa
 
Back
Top Bottom