Namaanisha Zanzibar si Kenya!sasa unajiandaaa na fees hujalipa 🤣
zanzibar naona wanataka kua na AFCON city kabisaNamaanisha Zanzibar si Kenya!
Huko kwenu waliuawa elfu kumi sii sad lakini ya huku kwetu sita pekee yanakuhuzunisha. Wavumbistan na unafiki.Ila hii story ya Laikipia University ni so sad.
Hebu tueleze kivipi? Hujajua regional politics kama Nairobi bado ina-claim kuwa na room capacity kubwa kuliko Zanzibar! What makes u believe hicho unachosoma? Huo uwanja hauna airbridges! Na unapitisha PAX less than 1,1 ! Yaani hata KIA has more PAX than Kigali International airport!Japokua ni ndogo, ila hawa jamaa Airport yao nzuri sana, i can confirm that
View: https://x.com/DianoPeters/status/2037074024992289065?s=20
Hii PPP ikifanyika Kenya mnasema ni mali ya Mchina. Kumbe mnamezea mate. 🤣 🤣 🤣
We huna akili. Nani amesema ya kwetu si sad. Unadhani ninafurahi watu kuuawa?Huko kwenu waliuawa elfu kumi sii sad lakini ya huku kwetu sita pekee yanakuhuzunisha. Wavumbistan na unafiki.
nilishaenda pale, nasemea kwa uzuri, pia ni ndogo! when you compare it to JKIA, in terms of arrangement basi JKIA looks like a slum 🤣 🤣 🤣 , pia ndege za rwanda they are also small but well maintainedHebu tueleze kivipi? Hujajua regional politics kama Nairobi bado ina-claim kuwa na room capacity kubwa kuliko Zanzibar! What makes u believe hicho unachosoma?
hio ni made up number, no one has that evidence however sisi we are more socialists than what kenya claims to be most democratic or katiba bora, everything thats happening now is an insult to all the claimsHuko kwenu waliuawa elfu kumi sii sad lakini ya huku kwetu sita pekee yanakuhuzunisha. Wavumbistan na unafiki.
with whom are you doing that PPP?Hii PPP ikifanyika Kenya mnasema ni mali ya Mchina. Kumbe mnamezea mate. 🤣 🤣 🤣
Nyani haoni KunduleHii PPP ikifanyika Kenya mnasema ni mali ya Mchina. Kumbe mnamezea mate. 🤣 🤣 🤣
Sheer Audacity of these folks while this guy is still in jail.Huko kwenu waliuawa elfu kumi sii sad lakini ya huku kwetu sita pekee yanakuhuzunisha. Wavumbistan na unafiki.
Ukipandwa na hasira hivi huwa najua mwiba nimeuchoma penyewe. Mauaji ya kwenu hayajawai tokea eneo hili la Kenya Uganda na Tanzania ila sijawai kuona ukiyaongelea. Leo hii unajifanya uko na humanity sana uyaongelee ya Kenya ya watu sita pekee? Wacha unafiki. Serikali yenu ilivyo ya kidikteta hao ni watu wanaoliwa kila siku hapo kwenu sama hamna aliye na ujasiri wa kuyaongelea asije akapotezwa.We huna akili. Nani amesema ya kwetu si sad. Unadhani ninafurahi watu kuuawa?
Unajitengenezea imaginary arguments kama fala
When it comes to Kenya they pretend they care so much about human rights. They even mourn more than the berieved. 🤣 🤣Sheer Audacity of these folks while this guy is still in jail.View attachment 3563011