Kwahiyo mimi nikiwa na ka online ki TV changu kina subscribers au kinapata views nyingi basi na mimi nitakuwa the biggest media house in Kenya sio? 😁Kwani kazi ya media ni gani kama sio audience. How can it be the biggest media house without infrastructure? Enyewe wewe ni fala.