Mna launch mara ngapi mbona mlisha launch miaka 12 ago? Tena Museveni na Salva Kiir wakiwa vijana kabisa 🤣🤣🤣Hizo zilikua kelele za chura, Uganda already launched their SGR line connecting Malaba to Kampala. Until they launch line ya kuelekea bongoslum ndio itawacha kua kelele za chura.