Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamani eeeh, huku kweli panaishi watu , hehehehe additional to that tanzania hakuna watu wa slums wanaoishi kwenye nyumba za mabati noooppeeee...
 
Attachments

  • IMG_3626.JPG
    IMG_3626.JPG
    39 KB · Views: 29
  • IMG_3627.JPG
    IMG_3627.JPG
    35.2 KB · Views: 28
  • IMG_3628.JPG
    IMG_3628.JPG
    35.1 KB · Views: 22
Hivi hawa wakenya mbona point yenu kubwa ni barabara tu , you cant win thru one point semeni mengine.. barabara barabara tumeshachoka ..
Apart dar kuwa na beach nini dar inaishindia Nairobi???tuseme ukweli...maybe na brt pia but generally dar is inferior to Nairobi
 
Kupitia Mada hii ndio nimeelewa kuwa kumbe Wakenya ni Vilaza walio pindukia
kiukweli nilikuwa sifahamu Kama wakenya ni Hovyo kichwani namna hii!!
Mwaka juzi nilikuwa nikipinga Nakuona kama Wakenya wanaonewa
pale Geza Ulole MOTOCHINI na kadoda11
wakiwarushia maneno makali baadhi ya wakenya wa jf wa zamani
lakini hawa wasasa kiukweli Wanaonyesha Elimu yao ni duni sana sana
Wanachangia pumba na ujinga
 
Pimbi mkuu hebu changia ujanja.
 
Hahaha umeona
 
Wewe hujui kazi alioifanya Charles keter kwa sasa stima ni 80% connectivity na streets lights iko kwa kila town na centres
Acha hizo, huku kwetu kulikuwa na waziri aliyeshiriki katika kampeni ya kupata bomba la mafuta toka Uganda, alifanya kazi nzuri sana ya kuunganisha stima vijijini na kufikia 68% electricity conectivity nchini kote, the highest percentage in EA, lakini alikosea katika madini pekee, Magufuli kamfukuza, huyo Keter hana lolote
 
We done with you. Tumeshamaliza kila kona tumepiga. Hakuna jipya from Kenya. Kwa kuwa mmeanza kuwa na heshima tutaanza kuongea. Mkileta dharau tunawabadilikia. Show respect utaona uzuri wetu.
Hivi hawa wakenya mbona point yenu kubwa ni barabara tu , you cant win thru one point semeni mengine.. barabara barabara tumeshachoka ..

roads opens up everything for business and development
 
Acha hizo, huku kwetu kulikuwa na waziri aliyeshiriki katika kampeni ya kupata bomba la mafuta toka Uganda, alifanya kazi nzuri sana ya kuunganisha stima vijijini na kufikia 68% electricity conectivity nchini kote, the highest percentage in EA, lakini alikosea katika madini pekee, Magufuli kamfukuza, huyo Keter hana lolote
68% na unasema ni highest in EA? Hata hauna aibu. Kenya stima connectivity ni 80%
 
Maswali yakipuuzi hayo sasa,picha huoni
How many times has your country participated in any international rugby championship? Sisi tumewahi kuwa world champions so si vibaya akiuliza kama Tanzania kuna rugby
 
Back
Top Bottom