Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The last photo is Oloitokitok in Kenya. The second photo is also Oloitokitok (Look at the building style). The second last photo is Rongai on the border of Kenya and those are the only photos that show the Northern Side of Kilimanjaro. Unajipiga own goal bila kujua. Most of you have never been to Kilimanjaro.
Huo mlima walipewa tanzania, cant you move on?
 
Look at Musoma . Just a small town in Northern Tanzania
 
Sasa mwanaume mwafrika utakuwaje na jina mbili za English!!
Especially kwa nchi ambayo English ni ndoto plus kujisifu hawalambi wazungu makalio!!
Ati mtu anajiita John Paul Lema mara Alice Joseph simiyu!
Tanganyika ilikuwa colonized na wazungu, wakaleta na dini zao pia. Soma historia. It didn't just happen overnight kwamba Watu wa Tanganyika/Tanzania wakaanza kujiita majina ya Kizungu
Pia kutumia jina la Kibantu haina maana ndio utumie jina la kike kwa mwanaume
 
Dar es Salaam is very advanced
The city is growing smartly na linajengwa kimkakati
Hakuna useless projects for show off hapa. Kila project ina reflect uhalisia wa jiji la Dar.
Nairobi ina safari ndefu sana kufikia Dar. Si mliweka pavements CBD badala ya drainage system, mvua za mwaka huu zimewafungua akili
 
Sasa mwanaume mwafrika utakuwaje na jina mbili za English!!
Especially kwa nchi ambayo English ni ndoto plus kujisifu hawalambi wazungu makalio!!
Ati mtu anajiita John Paul Lema mara Alice Joseph simiyu!
did i say thats my name?
 
leo amna faily dose?
1773833109604.png
 
The last photo is Oloitokitok in Kenya. The second photo is also Oloitokitok (Look at the building style). The second last photo is Rongai on the border of Kenya and those are the only photos that show the Northern Side of Kilimanjaro. Unajipiga own goal bila kujua. Most of you have never been to Kilimanjaro.
kwahiyo hata sababu ya kupiga picha na kibao huelewi? Hii ina maana all that beautiful view behind that Tanzania signboard is in Tanzania! FYI behind that board is not Rongai! That place is Tarakea after the custom at the border! Meaning even the signare is in Tanzania! Rongai is upthere where there is thick forest! AND don't think is Ongata Rongai! BTW do u know the meaning of Ongata in a word Rongai? Au kazi yako ku-claim everything is Ukunduni?
 
Wajinga mtaendelea kula ugali kwa kutumia picha ya samaki,wajinga wachache tu ndio mtaendelea kuwalia pesa zao kwa view ya kilimanjaro
View attachment 3559453
Hapo ni Rongai. I have always maintained, there is no photo of a Savanna that shows the northern side of Kilimanjaro that is taken in Tanzania. The only Savanna North of Kilimanjaro is in Kenya. Most of Tanzania's adverts of Kilimanjaro use photos from Amboseli National Park which is ironical because the same Tanzanians always accuse us of 'stealing their mountain'.
 
Back
Top Bottom