Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,162
- 107,733
Mzungu akipiga hii picha alafu aseme ni Kenya utawaskia wakisema tumewaibia mlima. 🤣 🤣
View: https://youtu.be/BXojaaWlw48?si=py0VEiyccy7iZLZf
MY TAKE
Propaganda za zilipendwa zinaendelea sijui KQ ilifanya nn badala ya sijui masters wa KQ KLM walifanya nn? Na saa hii wanafanya nn? BTW Both KLM and Air France r flying twice daily for the KLM n daily for Air France to Kilimanjaro, Zanzibar n Dar!