stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,808
- 15,718
Politicians wa kenya ni wajinga sana, how do you throw such claims bila evidence
View: https://www.instagram.com/p/DVwMYD8AMT3/
View: https://www.instagram.com/p/DVwMYD8AMT3/
you want another exclusive? Ready for underground trains?
na vitu vya bakuli sio?
Nakumbuka wakati wimbo ulikuwa ni, Talanta will never be built na kuna hadi wenye walihapa on their lives should it get built. Leo hii, watu wanatafuta excuses na reasons za kujiliwaza. Nawaonea huruma when you'll have to buy tickets kuja Nairobi kutizama AFCON finals TalantaBut the stadium looks BOXY sio futuristic, and has the ugliest seats in the milky way
Whatever way it looks ugly, not futuristic at all, it looks like a BOX house with plastic seatsNakumbuka wakati wimbo ulikuwa ni, Talanta will never be built na kuna hadi wenye walihapa on their lives should it get built. Leo hii, watu wanatafuta excuses na reasons za kujiliwaza. Nawaonea huruma when you'll have to buy tickets kuja Nairobi kutizama AFCON finals Talanta
Politicians wa kenya ni wajinga sana, how do you throw such claims bila evidence
View: https://www.instagram.com/p/DVwMYD8AMT3/
upinzani wa kenya ni kama vijizi vya kuchemshakama hana udhibitisho anachoongea afinywe kabsaa! na kiswahili na kizungu yake ya Kimumbi!
Uganda ana chance kubwa sana ya KUA king was East africa for now, haya mafuta yatatutesa sana, kuna mtu eti hamtaki m7 🤣
View: https://www.instagram.com/p/DV04fFZCB-r/
Kajunguti ndo wap 🤣 🤣 utakua umetembea sana hii nchi mzeeinabidi miradi haswa ya steel and iron ore ifanyike na pia ule uwanja wa ndege wa Kajunguti na reli ifanyike!