ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,247
Acha ushamba wewe this was 20 years agoMaasai Mara tayari kuna Kempinksi na bado Nairobi kuna hoteli kubwa sana ya Kempinski. Dar is a slum itapata Kempinski wajukuu wako wakifika miaka umefikisha sahii.
Acha ujinga Tz SGR can support speed of over 205km/hr ni suala la kiutawala tuu maana miundombinu ya high speed according to your classification ipo ila for now we have limited our train speed to 160kphWe mzee ni pumbavu kweli, bongoslum hakuna HSR, hio reli yenu ambayo husimamisha services ju some sections zinakua affected na mafuriko because they are not elevated itakuaje HSR, stop joking. The only high speed train in Africa inapatikana Morocco, trains zinafika hadi 300kph. The required minimum for a high speed train is an average of 200kph.
Unamaabisha Bakuli seats stadium?Nakumbuka wakati wimbo ulikuwa ni, Talanta will never be built na kuna hadi wenye walihapa on their lives should it get built. Leo hii, watu wanatafuta excuses na reasons za kujiliwaza. Nawaonea huruma when you'll have to buy tickets kuja Nairobi kutizama AFCON finals Talanta
Ndio ujinga mliofikia mna-abuse president ili awa-sue sio? Ngoja tuone! Sanity is needed huko Ukunduni!Ruto is free to sue him for defamation if he wishes so because even as the President, he ain’t above the Law . Arresting him would be futile , the courts would order for his release unless proof of pending prosecution. Kenya is not Bongo or rest of the region . We are not perfect but at the same time, we are free to criticize the government without fear of repercussions whether real or imaginary. Only in Kenya the whole of East and Central Africa. I think there are less than 10 countries all of Africa that truly enjoy freedom of speech and expression. Kenya is one of them.
This one is no longer Kempinski you idiot. This one is Hyatt now.Acha ushamba wewe this was 20 years ago
View attachment 3557746
Yes but the story is Kempinski was first in Tanzania before Ukunduni!This one is no longer Kempinski you idiot. This one is Hyatt now.
TBT, naona umebaki na kumbukumbu. 😂 😂 😂Acha ushamba wewe this was 20 years ago
View attachment 3557746
If it can support why is it limited? Kama hio 160kph ndio inawashinda kuendesha, tayari ishapata ajali sasa hio 205kph ndio mutaweza. Punguza kuota mchana, bongoslum hakuna HSR.Acha ujinga Tz SGR can support speed of over 205km/hr ni suala la kiutawala tuu maana miundombinu ya high speed according to your classification ipo ila for now we have limited our train speed to 160kph
We ni wazimu, nchi zikona HSR train zao zina operate daily with speeds of over 200kph. Stop forcing issues, bongoslum hakuna HSR.The slowest train in Tanzania travels at 208kmph, and the EMU travels at 250 kmph.
We are trialsndio maana tunapiga 180, 190 to 200 kmph. Once we are dine wuth trials, utaimba poo!
Na zikafunga, never to come back to the most unplanned city on earth.FYI Kempinski ilikuwapo Dar na Zanzibar kabla ya Nairobi! Hizi safari lodges Serengeti ni 2nd comeback na kuna mpango wa nyingine Arusha city! sasa funga bakuli!