stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,785
- 34,536
tusiwe na haraka kila mtu atainunua kenya, hata passport ya kenya ukitaka ela tu
Ni mradi wa mda kidogo unaingia mpaka kule pugu kwahio kuondoa sio wise move, alafu ni kama school bus wanafunzi wanajaa sana kule, japokua wanaendelea na ujenzi wa TRAM ambao sasa ni ndan ya mji tusioni umuhimu wa commuter trains kabla ya BRT ya barabara ya Mandela haijakamilika! wanapaswa wajipange vizuri!
unamaanisha treni za Mwakyembe? ohk tutumie picha basi!Ni mradi wa mda kidogo unaingia mpaka kule pugu kwahio kuondoa sio wise move, alafu ni kama school bus wanafunzi wanajaa sana kule, japokua wanaendelea na ujenzi wa TRAM ambao sasa ni ndan ya mji tu
nilipita apo jana nkaiona, skuweza kupiga picha mataa yalikua yameruhusu paleunamaanisha treni za Mwakyembe? ohk tutumie picha basi!
MGR ya mizigo kuelekea bandarini siku hizi inapita hapo kamata na kuingia port ile link ya zamani ya kuingia port ya MGR ndio inatumiwa na SGR kuingia Port.Nmeziona pale kamata jana nkajua ndo za commuter zilikua na kama badge za afcon
Dozi imetuzoea halafu mnakata supply na sisi tumeshakuwa addicted na hiyo dose sasa inabidi tujichukulie sheria mkononi tuu ali mradi tupate hiyo dozisisi tumeona hamna daily dose ikabidi tusaidie kazi
nilipita apo jana nkaiona, skuweza kupiga picha mataa yalikua yameruhusu pale