Wazee wakupika data hao na hali yote hiyo utasikia GDP ni usd 200bn ili asipitwe na aweze kukopa zaidina wanvoelekea itafika siku utaskia GDP ya mwaka huu imeliewa na amna atakaeshangaa 🤣
Wazee wakupika data hao na hali yote hiyo utasikia GDP ni usd 200bn ili asipitwe na aweze kukopa zaidina wanvoelekea itafika siku utaskia GDP ya mwaka huu imeliewa na amna atakaeshangaa 🤣
hawa jamaa wanakamua pesa sio kawaida, ni kama wanashindana kudefault nchi
View: https://x.com/Goddie_Ke/status/2029878397774545200?s=20
Dar is a low land area how about Nairobi altitude above sea level? Mbona hatusikii mafuriko Arusha au moshi?According to bongolalas Nairobi ndio kuna mafuriko pekee hapa sio Dar is a slum
![]()
Natural landscape ya Nairobi huijui. Usiwe pumbavu.Dar is a low land area how about Nairobi altitude above sea level? Mbona hatusikii mafuriko Arusha au moshi?
Embu tuelezee hiyo natural landscape ikoje tuijue ili tu verify kuwa sio kosa la urban planning na kina Sakaja hawahusiki na hiyo hali.Natural landscape ya Nairobi huijui. Usiwe pumbavu.
Nairobi is built on a highland and savanna low lands. Hii kitu nishawai sema hapa and sina wakati wa rudia in detail.Embu tuelezee hiyo natural landscape ikoje tuijue ili tu verify kuwa sio kosa la urban planning na kina Sakaja hawahusiki na hiyo hali.
wikii hii mafundi wa magari watavimbiwa na elaKwa kina Kibaki huko 😁
mbna itakua freshi kabisa, shida yao si GDP ionekane kubwa tu, wakope bana, hata ivo wamepoa sana mbna ghafla hawaonekani ukuWazee wakupika data hao na hali yote hiyo utasikia GDP ni usd 200bn ili asipitwe na aweze kukopa zaidi
wiki hii gerej zitavimbiwa na pesa, nairobi nzima imekua watejaAccording to wakunya hata Dar kuna mafuriko kama hayo lakini serikali imekataza media kupost. 😂😂😂