Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,789
we jamaaa bana eti Brass band 🤣watu wamekula pesa ya equipments za Police Brass band hapo Ukunduni!
bado kinachoongelewa ni kuongeza mchezo mmoja uganda na tanzania ama rwanda kuingiaWamelipa hosting fees?
huoni hiyo trumpet inavyolia ina maana hawajaona inahitajika mpya?we jamaaa bana eti Brass band 🤣
uku waliliona mapema ilo tatizo akapewa azam, saaahv unalipa electronically unapitaA disaster waiting to happen!
na wanvoelekea itafika siku utaskia GDP ya mwaka huu imeliewa na amna atakaeshangaa 🤣huoni hiyo trumpet inavyolia ina maana hawajaona inahitajika mpya?