ghafla daily dose imapotea!Jinsi mnavyofuatilia projects za Kenya mngekuwa mnafuatilia zenu hivo saahii mngekuwa mbali sana.


sku hizi hawataki kupost tena daily doseghafla daily dose imapotea!![]()
![]()
![]()
Daily dose bado ipo. Ila saa zingine hatuoni haja ya kupost maana bongolalas huwa washaipost like 5 times. Cha kushangaza hampost stadium yenu.ghafla daily dose imapotea!![]()
![]()
![]()
🤣 🤣 🤣Daily dose bado ipo. Ila saa zingine hatuoni haja ya kupost maana bongolalas huwa washaipost like 5 times. Cha kushangaza hampost stadium yenu.
jamaa wamalize tu uwanja wa dodoma na FUMBA mambo yasiwe mengiwanatafuta sababu ya kukacha Afcon 2027!