Wewe ni ngombe na utaendelea kuwa ngombe.
Tanzania ni member wa International Maritine Organization (IMO) kukiwa na maana raia wa nchi yoyote anaweza kuja kusajili meli yake kwa usajili wa Tanzania na kupeperusha bendera ya Tanzania.
Mmiliki wa meli sio Mtanzania.
Naona umekuja kuniquote kuniwekea maneno mdomoni.
View attachment 3549441
Wewe ndio ng'ombe na utaendelea kua ng'ombe. Hata Maghufuli alikua anajua kinacho endelea and he even tried stopping it. Punguza emotions pumbavu, this is a well known fact.
View: https://x.com/i/status/2027092405103534200