stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 20,075
- 16,006
sasa unajifananisha na sisi kwenye uzalishaji wa sukari?Hatujawai jipiga vifua eti hatuimport sukari. In fact sisi huwa tumejikubali tunaimport vitu vingi tu, nyinyi ndio wa kujipiga vifua eti mnajitosheleza wakati mnadanganywa tu na wanasiasa.