Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni battle kaka vilio hatutaki umu
Lakini si nimekuambia tu ukweli ndugu yangu. Hii energy yote mnaelekeza hapa mngetumia kujenga nchi yenu, pengine haingekuwa kwenye hiyo list ya ldc. Najua ni uchungu lakini hiyo ndo ukweli
 
vipi lakini kuhusu waimbaji wanaoweza kutunga nyimbo kwa kiingereza? hamna variety...nyot mnaimba lugha moja...very boring
We na kiingereza chako umeishia kuwa mfagiaji wa kampenski[emoji3][emoji3][emoji3] watu hawajui English wanakuja kuzoa mihela sasa sijui mburura ni nani hapa?
 
we will control each and everything in kenya...from entertainment to their daily needs.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwanza jinasue kutika uLDC kaka blaza. hapo utakuwa umefanya jambo la busara sana kwa taifa lako
 
Kumbe mnajua rika yenu ni Mombasa? Hongera kaka. Sasa msilinganishe hicho kijiji chenu na Nairobi tena sawa?
Nairobi nayo iko na kipande chake chabkuilinganisha,haiwezi simama na dar nzima ni kuionea nairobi.
 
LDC inawanyima usingizi wakenya...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
La hasha!, hamtunyimi usingizi wala hamuwezi kutukosesha usingizi hata siku moja. Tuko tu hapa kuwapa motisha na moyo angalau mjinasue kutoka ldc. Nyinyi ni majirani zetu kwa hivyo hatufurahii dhiki na uchochole mnayopata mkiwa kwenye hiyo list ya ldc. Hiyo ndo inaitwa ujirani mwema
 
Si kuchafuliwa jina ndugu. The fact is that your ujamaa country is listed among the least developed countries in the world. La muhimu kwako na watanzania wenzako ni kujikakamua na kujenga nchi yenu itolewe kwenye hiyo list ya aibu
 
Cha kushangaza ni kwamba licha ya hayo yote, uchumi wetu bado ni kubwa kuwashinda, tuko na bigger middle class kuwashinda, na zaidi ya yote, hatuko ldc kama nyinyi. How about that?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…