Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya 2014 ilikua ldc
Vile mnapiga kelele kua dc as if mligraduate 1990
Nyinyi aliyewazuia kugraduate ni nani? Mngekuwa mnatumiwa hii energy mnatumia hapa ndani kupaka Kenya tope kujenga nchi yenu saa hii hamngekuwa ldc.
 
asante kwa porojo.
Porojo gani? itisha link nikuletee, tena kutoka hapo kwenu. Internet access Tanzania nzima ni 13% and that is a fact you can't run away from. You are among the few danganyikans who are privileged to enjoy internet access hapo ujamaa village. Unafaa kushukuru Mungu sana. Again, itisha link nikuletee la sivyo koma kabisa
 
Haha sio kama hio ni fupi ,legacy zinamatoleo kila mwaka zipo modern zaidi ni kama range rover tu ziko za tangu 1970 sasa unaposema ni gar ya zaman unakua kama unazingua buda...
kwa usawa wang nilimudu ya 2007 but ni nzuri kuliko alteza,MarkII ,Even brevis ...inauwezo mzuri.
 
Nyinyi aliyewazuia kugraduate ni nani? Mngekuwa mnatumiwa hii energy mnatumia hapa ndani kupaka Kenya tope kujenga nchi yenu saa hii hamngekuwa ldc.
Hii ni battle kaka vilio hatutaki umu
 
What about PPP?
 
Lmic manake bado ni walaini
ndio Hawa hukopa kila project wanayofanya [emoji4][emoji4]....Ndio mana wengi wao wanakua wakali kumbe ni mikopo inawa hunt
Wewe ni mwehu au nini? kuwa na deni is no big deal. Hata America iko na deni tena kubwa sana na bado inalipa hadi wa leo. Jielimishe kidogo mtoto wa bongolala
 
Wewe ni mwehu au nini? kuwa na deni is no big deal. Hata America iko na deni tena kubwa sana na bado inalipa hadi wa leo. Jielimishe kidogo mtoto wa bongolala
Mwehu nyanya ako apo vp
kenya na America wap n.a. wap...[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…