Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa nini kinawashind ku-support KPL?
We ni mgonjwa
Ulifikiria WRC wanakuja kenya kuji organizia event.. ulifikiria hizi logo ni za mapambo? Aibu mzee😅😅😅
IMG_7744.jpeg
IMG_7743.jpeg
 
We are even constructing a new road to connect Bomas of Kenya and Talanta stadium plus other new access roads to the stadium. Bongolala bado wanangoja msaada kutoka China ndio wajenge supporting infrastructure huko kwa kichaka.
I'm 100% sure ni Tanzania ndio itafanya AFCON ikuwe postponed.

Only Makwapa ndio iko ready uko kwao lakini haina drainage system.
 
That's not enough jengeni another road from dar to bukoba different route, infact that route inafaa kuwa na highway 3 na reginal road kama tano.
Mko n nchi kubwa but NOTHING to show.
Asante kwa kukubali kuwa Tanzania ni kubwa. Nadhani akili zimeanza kuwajia.
 
SGR ambayo mulijenga phase moja kwa miaka kumi, hadi wa leo hata connection to the port bado haijaisha. 😂 😂 😂 Stop joking, tutaanza phase 3 tumalize kama bado hio yenu haijaisha. Mark my words.
Nikionyesha picha za kenyatta amesimama barabara hiyohiyo aliyosimama Kasongo utakimbia wapi?
 
That's not enough jengeni another road from dar to bukoba different route, infact that route inafaa kuwa na highway 3 na reginal road kama tano.
Mko n nchi kubwa but NOTHING to show.
Imagine Tanzania is twice the size of Kenya lakini Kenya has more tarmacked road than Tanzania, how can you explain that if not laziness?😂😂
 
Back
Top Bottom