Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CAF waache ujinga wa kujizungusha,Iko wazi tatizo ni Kundustan wawanyang'anye uwenyeji wawape Rwanda Ili ratiba ibakie vile vile.

View: https://www.instagram.com/p/DUr4GmElHEv/?igsh=MWplYjJkcjBhMmp3aQ==

Kwanza si msubiri hadi mkubaliwe hela ya kumalizia ndio mjigambe😅
IMG_7610.jpeg
 
Tushangae na bus stage na mnacheka a whole 750km brand new highway!😅

You guys from small small countries are chearing minor and little things.

Yaani mnashangilia Barabara ya km 750 wakati tuna Barabara za over 1400km na ni tarmac?

Kuweni na aibu au Kwa udongo wenu hiyo ni big issue? 😆😆
 
Wengine wako mbioni wakifix infrastructure for AFCON, alafu kuna bongoalalas bado wanaomba misaada kutoka China kwa ajili ya AFCON. 😂 😂 😂
Ati wanasema tumeshindwa kulipa hosting fee ya 3.9billion wakati just pavements alone and footbridges around talanta stadium cost 3.9 billion 😅😅
Let alone infrastructure surrounding other stadiums and money going into the stadiums themselves.

View: https://x.com/moneyacademyke/status/2020724338996269536?s=46
 
We are even constructing a new road to connect Bomas of Kenya and Talanta stadium plus other new access roads to the stadium. Bongolala bado wanangoja msaada kutoka China ndio wajenge supporting infrastructure huko kwa kichaka.
 
You guys from small small countries are chearing minor and little things.

Yaani mnashangilia Barabara ya km 750 wakati tuna Barabara za over 1400km na ni tarmac?

Kuweni na aibu au Kwa udongo wenu hiyo ni big issue? 😆😆
Because bus stendi are major things 😅😅
First of all seems like you think its about the continuous length of 750km… you’re missing the point- it’s about upgrading a whole 750km murram road to tarmac… kenya has more bitumen standard road network than Tanzania to begin with, now we adding more each day.
 
We are even constructing a new road to connect Bomas of Kenya and Talanta stadium plus other new access roads to the stadium. Bongolala bado wanangoja msaada kutoka China ndio wajenge supporting infrastructure huko kwa kichaka.
Hujaongeza rail connection..
The amount of preparation put into the tournament itself... ati just to miss a 3.9b hosting fee 😅
 
Back
Top Bottom