Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IN ISTI AFRICA EN. CENTRO
no one can touch TZZZZ...
 

Attachments

  • Utamu_wa_Jeshi_la_wananchi_Tanzania_#JWTZ,_Mafunzo_kwa_Vitendo___#reelsviralシfb_#Tanzania_#Uni...mp4
    2.1 MB
Yani nikiqngalia pitch hiyo ya Nyayo ndio ndio uwanja wao Bora kwa Sasa unaotumika napata mshangao sana. Hapa Bongo unashangaa pitch kama ya KMC imefungiwa kuipisha marekebisho.. wakati hiyo KMC ikienda kunyaland hapo inakuwa state of the art stadium in the entire African region south of Sahara desert 😂😂
Ukiongea hivi mtu hawezi jua timu zenu za ligi kuu zinacheza kwa huu uwanja hapa. 🤣 🤣

0HJ0j12000ij0l88sB221_C_670_376_Q70.webp
 
🤣🤣🤣
 
Aisee hizi aibu.. hivi? Huko Ukunduni miradi huisha? Toka kipindi cha Uhuru hii Barabara ilikuwa haijajengwa?
This how I know you have never been to Nairobi as you claimed before. This highway was once the best in East and Central Africa while Dar was still a fishing village ( or is it still?).. but the heavy machinery during the expressway construction damaged the lower road. The initial expressway contract included the lower section but politics got on the way and it was cancelled and handed to a politically connected cowboy … but that’s history, we are now on right track. The new design will make this highway a sight to behold especially the landscapes.
 
Back
Top Bottom