AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,354
- 3,354
Yani nikiqngalia pitch hiyo ya Nyayo ndio ndio uwanja wao Bora kwa Sasa unaotumika napata mshangao sana. Hapa Bongo unashangaa pitch kama ya KMC imefungiwa kuipisha marekebisho.. wakati hiyo KMC ikienda kunyaland hapo inakuwa state of the art stadium in the entire African region south of Sahara desert 😂😂