Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi moja ya kipumbavu sn, angalia huu uwanja waliojaribu kulinganisha na Mkapa stadium baada ya kufanya ka renovation jua kali. Uwnaja hata mwezi haujaisha umegeuka ghost 👻 wakenya hawawezi kuwa civilized aisee . Alafu pia nilichogundua hata viti walikodi ili kuficha aibu zen wakavirudisha. Nchi ya wajinga 🤣🤣🤣

 
Kunyan na vitu quality ni chui na paka
Wakenya ni wajinga sn, huo uwanja tangu Chan tuliwaambia renovation iliyofanywa pale ni jua kali wakabisha, sasa ona mwezi mmoja baadae uwanja umezidi kuwa hovyo, alafu ukiangalia mazingira jinsi yalivyo unaona kabisa uwanja haujaguswa kwa matengenezo licha ya kutumika mara kwa mara, walichofanya wao ni kutoa viti na kurudisha walipovitoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…