Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View from the stands. Few weeks back.

1000184244.jpg
 
Maisha ya wafugaji Kenya, Somalia yalivyo hatarini ukame ukizidi kusambaa

1770452867794.jpg


Kenya mna ukame sasahivi tena in a very big part of your country. Hadi maeneo ambayo hayakuwa yanapata ukame yameanza kupata ukame now, hamtunzi mazingira, but take a look of Mbeya right now na bado Teargass yuko na guts za kusema Mbeya so green bali ni mashamba.
Angalia Wakenya wenzako wanavyoteseka wakati huku nilipo ni rain everyday since November last year
Hatujui kitu kinaitwa ukame. Hizi picha nimepiga this week 👇👇
PXL_20260205_090853617.MP.jpg
PXL_20260205_090914512.jpg
PXL_20260205_090649750.jpg
PXL_20260205_090630266.jpg
PXL_20260206_061734273.jpg
PXL_20260206_112407574.jpg
PXL_20260206_140632171.MP.jpg
PXL_20260206_140024278.MP.jpg
 
Back
Top Bottom