Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
The SI unit if success in Tanzania is when you beat Kenya. Yani Kenya ndio marking scheme yenu 😅😅😅
View: https://x.com/kenya_ports/status/2020035118086131940?s=46
yeap, nmefurahia ya lake victoria zaidi itachangamsha sana pale bandarini japo watapokea kote kote via sgr na via ziwaniNimesikia Rais wa Tanzania kuwa Kunaujenzi wa SGR kuunganisha Uganda.
Central Railway
Isaka -> Lusahunga (Uganda na Rwanda wataunga hapo)
Tanga -> Musoma (Uganda watapitia Ziwa Victoria)
Elections inakaribia, this year ni ujenz tupu.
View: https://x.com/WilliamsMkenya/status/2019796275974099161?s=20