joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Haiwezikani hii habari, lazima mtakua mumepika story, itakuwaje baba wa demokrasia ashindwe na dikteta?, mimi sikubali, tafadhali ninaomba tuandamane hadi Kibera[emoji14] [emoji14]asante magu tuendelee na kazi
View attachment 668282
Acha uongo wewe. Ulaya hakuna bullet train, kuna electric na diesel electric za kawaida ambazo kwa ushamba wako unaziita Bullet Train. Kama unaita Eurostar bullet train basi hata zitakazokuja Tz zitakuwa bullet trains.Wewe uliishi Scandinavian countries za Denmark, Iceland, Finland, Norway and the likes ukasema uko Europe?! Pale hakuna tofauti sana na middle income countries za africa na Asia. Nenda Paris ujionee bullet trains that connect paris to other Euopean cities in two hours or less. Na sasa kama ulaya ndo haina bullet trains as you put it here Danganyika ndo itakuwa nayo as you want us to believe? Your dreams are not valid.
Jsmaaa unaota eti barabara.elimu....iyo yote hamfikiZaidi ya GDP ambayo hata hiyo mnayotaja sio kweli, mambo mengine yote ya msingi Tanzania ipo juu, tatizo lenu mnata mambo yasiyo na msingi ili kupata sifa za kijinga, binadamu anahitaji basic needs kwanza, kama vile, chakula, malazi, mavazi, afya, elimu na usalama wake na mali zake, ajira, maji, umeme, barabara na ardhi ili aweze kujiendeleza, mengi kati ya hayo Tanzania ipo mbali sana, kama unabisha tuanze moja badala ya lingine.
Yet you die of hunger in thousands, you live in slums in millions, you have big percentage of people below poverty line than any other country in EA except South Sudan and Burundi, how can you connect these with bigger number of middle class?
you have bad luck in grasping simple things.....even my village madman knows Charles oboo is a popular editor with the nation newspaper and a Ugandan.....
The builders of an electric bullet train don't have enough finances. Kumbe hamna pesa za kutosha ndio Maana ujenzi ni mwendo wa kobe. Hii reli ni vision 2035.
Tanzania ready for phase two of SGR
But Tanzania is still seeking financing for the $ 1.2 billion project whose first phase President John Magufuli launched in April this year.
The president has approached the World Bank and the government of South Africa for support.
Dr Magufuli had asked President Jacob Zuma to help Tanzania in lobbying for loans from the BRICS-run New Development Bank which South Africa is a member. He also requested the World Bank president, Dr Jim Yong Kim to help in financing the project.
Both President Zuma and Mr Jim Yong visited Tanzania this year.
Tanzania struggles to finance SGR
Tanzania is struggling to find financiers for its proposed $1.2 billion standard gauge railway as leaders continue to raise questions on the viability of the project.
A group of MPs recently said the project is likely to stall due to lack of financing unless the government considers alternative sources of funds outside low-interest loans such as a 15-year railway bond.
President John Magufuli has in the past few months been lobbying heads of state and international financial institutions to help his government raise money.
The 1,200km railway line, which is expected to handle 17 million tonnes of cargo per annum, will be built parallel to the existing central railway and the government believes that its completion will increase trade volumes between the country and its landlocked neighbours.
President Magufuli also asked the World Bank Group president Dr Jim Yong Kim who visited Tanzania in March for money to finance the project. The World Bank has already set aside $200 million for the rehabilitation of the central railway.
βThe World Bank has in the past said that SGR is not viable in the region. The government had been hesitating to use the $200 million to rehabilitate the central railway and it is clear that the World Bank canβt agree to have the money diverted to SGR,β a source with knowledge of the project told The EastAfrican.
However, the government says it will use own domestic resources to build the first phase of the project consisting 300km and costing $ 1.2 billion and that the government had already provided $1.22 million for the start of the construction of the first phase in the 2016/2017 budget allocations.
However, budget records indicate that the government had only disbursed Tshs290 billion ($129 million) until March this year. The budget estimates for 2017/18 show that the government has only allocated Tshs290bn for the project.
The first phase of the project will run from Dar es Salaam to Morogoro and will involve a dry port project and six stations.
Iyo gazeti Niko sure wa bongolala wazinunuiasante tanzania
View attachment 668067
Iizo mumepika datanyie munatushinda kwa kivu vifuatavyo
debt to GDP ratio 60%
unemplyment rate 40%
below poverty line 46%
the worse and biggest slums in the world
tribalism, corruption and poor security
hunger
hehehe is toyota from kenya now???πππ
π π π π π π π nn iyo bahahariWakenya wakiona hii wanaumia sana.
Wacha kupost vi2 za kishamba....hapa π± π± π± pia msa kulikuja..meli...soo.umeishiwan na hoja
Kimya kimya ... airport mnajenga kimya kimyasisi sio watu wasifa ndio maana tunafanya mambo mengi kimya kimya sana ππππππ we utashtukia kitu tayari alafu uanze kutokwa povu vzr
Wee ni maembe 2wow new york city opps sorry dar es salaamπππππ
No kama msa mumeishidia tower mbili 2wow new york city opps sorry dar es salaamπππππ
Yet sisi ni wakali waoHawa GDP yao haina faida yoyote, ni sawa na Ethiopia, wana GDP kubwa lakini maisha mabaya sana hakuna mfano, wananchi wanakimbia kila siku kwenda nchi nyingine!
Kenya napo njaa kila siku, maisha ya mtu mmoja mmoja ovyo ile mbaya
Dar ....kuna ..nyumba kama izo zime jaaMarvelous[emoji125] [emoji125] [emoji24]
Zuwenna alikimbiaCc:zuwenna
Tz kuna nn ama ni umbu na joto uko darHivi kuna msanii wao hata mmoja aliyekuja tz kufanya show?
Ooooh sasa nyie dcwakenya wanaanza kutumia electronic licence 2018 wakati LDC imeanza kutumia e- licence leo miaka 7 iliopita
View attachment 668288
will become the first country in east and central africa to have the modern electric bullet trainππππ
Yah itwa ganya one day I will visit Nairobi nizipandemalori ya kubebea mizigo ndio yanabeba watuππππππππ yani wakenya wanamaisha yakimaskini sana duhhView attachment 668291View attachment 668292
Bona jengo zebu mnajenga.twins mna MNA second ideaDar guyz
Unajitaidi kuangaikaBona jengo zebu mnajenga.twins mna MNA second idea