Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha hasira wewe!
 
Apart from hiyo Moja Kuna kipi tena Cha maana hapo Eldoret?

Mbeya tuna 3 buildings with 10 floors each.
Bro, 10 floors buildings Eldoret sio kitu cha kushangaza tena. Affordable housing pekee ni 15 blocks na zote ni 14 floors. Hizo pekee zishaangusha Mbeya+Arusha+Mwanza+Zanzibar+Tabora+Dodoma+Tanga +Vimji vyote vya Vumbistan excluding Dar. 🤣 🤣 🤣
 
Hazipo zimejaa dwarfs tuu hapo
 
Kwani amejifunza wapi huyo Kasongo mambo ya NSSF Hadi akaongeza makato kwenye mishahara yenyu?

Unajua benchmarking ilikuwa wapi? Sheenzeey sanaaaa... In Atwoli voice!
Na mbona mnajifanya kama kuongezeka kwa NSSF ni kitu kibaya?
Haya You want to say alibench mark Tanzania?
Show me the NSSF deduction model for Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…