Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,098
- 32,919
Ha ha ha😎cha nairobi one of the best in africa, si unaskia wanaitwa capital city of africa
View attachment 3535796
Cc: Mimi Wewe Yule
Ha ha ha😎cha nairobi one of the best in africa, si unaskia wanaitwa capital city of africa
View attachment 3535796
He’s deranged … definitely either some mental case or a CCM paid troll … I guaranteed it .I realized the kind of a guy he was and stopped engaging him, siku hizi naona kazi ni kunitag tu akitaka attention yangu but simpatii.
Nairobi hakuna chawa, Dar machawa wanamiliki mabilioni.Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
View attachment 3522579
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
I think ni ichoboy. Yeye ndo alkua na childish behaviors kama hiziI realized the kind of a guy he was and stopped engaging him, siku hizi naona kazi ni kunitag tu akitaka attention yangu but simpatii.
That's what you call race for the sky? 🤣 🤣Race for the sky in Mbeya City 🔥 🔥 View attachment 3535363View attachment 3535364