Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,932
- 27,897
popcorn ndo zimekosekana za kuangalia tele mundu ya mpaka election
View: https://x.com/jumaf3/status/2015820123399962633?s=20
Mkapa haipo ivo AI isikudanganye!Makwapa facade yake imejaa ugly pillars kama shamba ya miwa. 😂 😂 😂
wanajiita capital of africaCCM na mambo yote hawajawahi kutaka au kuruhusu upumbavu kama huo. 😂😂😂
Halafu wanajiita nchi huru!
Hii ingekuwa Kundustan wangeweka kwenye AFcon 😂😂
Chunya-Mbeya
View: https://www.instagram.com/p/DSVRB1dCHFX/?igsh=MTNsM2hidXJkZTRvbA==