Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alassane Ouattara Ebimpé stadium​

I think Talanta Cooked on this one bruh
IMG_7055.jpeg
IMG_7056.jpeg
IMG_7057.jpeg

IMG_7027.jpeg
IMG_7059.jpeg
 
mbna nyie hamjapata hio bahati nasibu?
You should thank the new format bongolala. You sailed through as a third placed team. Third-placed teams have always been eliminated in this tournament, untill the format changed this year. The fact remains Tanzania is the only country without a win in AFCON matches
 
my logic is ulikua unashinda wap na ulikua hauna ata uwanja wa kucheza, ama hujui mlikua mnatumia uwanja wa uganda
The basically you are saying we haven't been beating you recently? Is that it?
 
You should thank the new format bongolala. You sailed through as a third placed team. Third-placed teams have always been eliminated in this tournament, untill the format changed this year. The fact remains Tanzania is the only country without a win in AFCON matches
Hii inabadilisha vipi kuwa Tanzania ndio nchi ya kwanza na pekee EA kufuzu 16 bora?
Nani kakudanganya kuwa ni “new format” huwa huwezi kabisa kuficha ujinga wako humu?
Chuki yenu dhidi ya Tanzania inawafanya muwe wajinga na wakumbafu.
AFCON 2023 Ivory Coast nae aliingia 16 bora kama best loser, unasemaje hii ni new format?
Tanzania ina mafanikio mengi na makubwa kwenye mpira kuliko nchi yenu, ukweli mchungu.
Hivi mara yenu ya mwisho kucheza AFCON ni lini. 😂😂😂
FIFA wametoa rankings jana, bado mnaburuta mkia.
1768970516352.jpeg
 
Kenny alijitahidi sana kupata ubunge ama ukurugenzi wa Posta akatoswa vyote. Ndio sasa unaona anaongea sana negative kuhusu Tanzania kinyume kabla ya harakati zake za ubunge na maongezi yake ya awali.

Tatizo lenu hamna akili na mnapenda sifa, hivyo ni ngumu sana kutambua the motive ya mwandishi. 🚮
Yani kila mtu akisema kitu negative kuhusu Tanzania mnasema ni uharakati yet wale wanaoongea negative kuhusu Kenya mnawaquote kila siku humu na bado hamuoni hiyo ndio kupenda sifa. FYI ni nyinyi mlioleta hiyo tweet humu bila kujua chanzo chake, mimi nimepoint out tu. Nyinyi ndio mna tabia ya kuscour mitandao mkitafuta tweet zinazosifu Tanzania na kuiponda Kenya - ukiwa kiranja wao.
 
Back
Top Bottom