Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,927
- 16,253
Niko nafanya assignment ya Engineering Drawing hapa, kwa hiyo kaa kwa kutuliaKasome wewe katoto.
That section of Kisumu you posted panafanana na Sumbawanga. It's true.
This is Sumbawanga
Niko nafanya assignment ya Engineering Drawing hapa, kwa hiyo kaa kwa kutuliaKasome wewe katoto.
skia hii pimbi, kwan ivory coast walibeba waktokea nafasi ya ngap?You should thank the new format bongolala. You sailed through as a third placed team. Third-placed teams have always been eliminated in this tournament, untill the format changed this year. The fact remains Tanzania is the only country without a win in AFCON matches
wakenya mpira hamjui kelele tu, kwanza hio link ya CHAN Bid mpaka sasa hutak kuletaWho is this? You think this is me?😂😂
Pole Sana Scammer. Now tells me why you are happy being a loser.
Hawa watu wangekuwa na uwezo wangebeba Talanta wapeleke Tanzania 😂😂😂
View: https://x.com/i/status/2013607166557438308
sasa page ya mtu mmoja ndo una generalizeKujifariji ehhh? 🤣🤣🤣
Kubali tu mnaponda Talanta hapa lakini kimoyomoyo mnaitamani sana😂😂View attachment 3532366
dogo huezi fananisha mpira wa tanzania na kiumbe yoyote apa east and central africa! if you understand all these stop explaining things that dont make sense and respect numbersBongolala, this is a new format kubali yaishe. AFCON has been played for ages. Niambie format ya timu ya tatu kuingia next round ilianza kutumika lini? I think this is the second edition if I am not wrong.
You are now looking for validation to counter the fact that you remain winless in AFCON by bringing up unrelated content like FIFA ranking like you rank so high above us while the fact is that it's only three places above us.
Kubali tu kwamba up to this point, you don't know how a victory in AFCON tastes like
Goalpost changed from new to this is the second edition! 😂😂😂
New according to you labda.
Sheria ya "Best Loser" ilianza kutumika rasmi AFCON 2019, iliyofanyika Cameroon,
Kabla ya 2019 AFCON ilikuwa na timu 16, makundi manne, na zilifuzu timu mbili tu kwa kila kundi washindi na washika nafasi ya pili jumla timu 8 kwenda robo fainali.
Kuanzia AFCON 2019, CAF iliongeza idadi ya timu hadi 24 na kubadili mfumo makundi sita, ambapo washindi wa kundi, washika nafasi ya pili, pamoja na timu 4 bora zilizomaliza nafasi ya tatu (best third placed teams) ndizo zilifuzu hatua ya 16.
Nime bold ili uelewe kondoo wewe.
Mkiambiwa mmeanza kufuatilia mpira CHAN 2025 mnakataa.
AFCON 2023 three timu qualified round ya 16 bora kwenye Group A.
View attachment 3532393
View: https://x.com/livescorebetng/status/1755529428312932793?s=46
Je unafahamu hata Portugal pia kwenye EURO 2016 alikuwa best loser.
View: https://x.com/medson_naftali/status/752358532931022848?s=46